Radio Tadio

Habari za Jumla

29 January 2022, 7:26 am

Jamii ijitokeza kupata matibabu ugonjwa wa Ukoma

RUNGWE-MBEYA Jamii imetakiwa kujitokeza kupata matibabu pindi waonapo dalili za ugonjwa wa Ukoma hali itakayosaidia kuzuia maambukizi kwa wengine. Rai hiyo imetolewa na Mratibu wa kifua kikuu na Ukoma wilayani Rungwe Daktari Emmanuel Asukile alipokuwa akizungumzia kuelekea maadhimisho ya siku…

27 January 2022, 6:58 am

Abiria watoe taarifa kuepusha ajali barabarani

RUNGWE-MBEYA Tabia za kibinadamu zimepelekea kuongezeka kwa ajali barabarani kote nchini  hadi kufikia asilimia 76% kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa hivi karibuni na jeshi la polisi. Akizungumza na Radio cha FM kupitia kipindi cha Amka na Chai Mkuu wa kikosi…

26 January 2022, 8:50 am

Wananchi waitumie wiki ya sheria kupata msaada wa kisheria

RUNGWE-MBEYA Kuelekea kilele cha wiki ya sheria nchini mahakama wilayani Rungwe imewataka wananchi kujitokeza katika maeneo ambayo zoezi la utoaji elimu litakuwa likifanyika . Akizungumza na Radio Chai Kaimu Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Rungwe Bw.Augustine Lugome amesema  utaratibu huu …

24 January 2022, 9:46 pm

Madiwani Missenyi waridhia kujenga uwanja wa michezo

Baraza la Madiwani Missenyi limeridhia Ujenzi wa Uwanja wa Michezo na suala hili kuweka katika mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka mitano. Katika kikao Maalum cha Baraza la Madiwani kilichoketi Jumatatu Januari 24, 2022 kwa ajili ya kupitisha mpango Mkakati…

24 January 2022, 5:06 AM

Uzinduzi wa wiki ya sheria nchini.

MASASI: Uzinduzi wa wiki ya sheria nchini. Matembezi yanaanzia Uwanja wa Fisi hadi Uwanja wa BOMA ambapo uzinduzi rasmi utafanyika. Kaulimbiu: “Zama za mapinduzi ya nne ya viwanda, safari ya maboresho kuelekea Mahakama mtandao” Kaulimbiu hii inahamasisha wananchi kutumia njia…