Radio Tadio

Elimu

6 April 2023, 9:18 am

Kamati ya PETS Yabaini Madudu Shule za Msingi Nsimbo

NSIMBO Kamati ya ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma katika shule za msingi (PETS) halmashauri ya Nsimbo imebaini uwepo wa uchakavu wa miundombinu,ukosefu wa vyoo mashuleni na uhaba wa walimu. Akisoma taarifa ya Awali wakati akiwasilisha taarifa ya Mrejesho…

4 April 2023, 1:03 pm

Vijana 300 kudahiliwa na Chuo cha Veta Bahi Julai 2023

Amewapongeza wasimamizi wa ujenzi wa chuo hicho kwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto zilizopelekea chuo hicho kutokukamilika kwa wakati. Na Benard Magawa. Vijana wapoatao 300 wanatarajiwa kuanza kunufaika na elimu ya ufundi stadi veta mara tu chuo cha Veta Bahi kitakapokamilika…

29 March 2023, 8:26 am

CHAKUHAWATA Mpanda Waaswa Kuelimisha Maadili kwa Walimu

MPANDA Viongozi wa chama cha kulinda na kutetea haki za walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) wilaya ya Mpanda wametakiwa kuelimisha maadili na miiko ya kazi kwa walimu. Kauli hiyo imetolewa na katibu msaidizi wa tume ya utumishi ya walimu wilaya ya mpanda…

25 March 2023, 12:25 am

“Wanafunzi wafundishwe lugha kwanza”Msonde.

KATAVIWalimu wa shule za sekondari na msingi mkoani Katavi wametakiwa kujikita kuwafundisha lugha wanafunzi Ili kutengeneza mazingira rafiki ya uelewa katika masomo. Hayo yamesemwa na Naibu katibu mkuu ofisi ya rais Tamisemi Dk. Charles Msonde katika kikao kazi na taasisi…

17 March 2023, 4:04 pm

Wazazi waliokatisha watoto masomo kukamatwa

Baadhi ya wazazi wanadai elimu zote mbili zina umuhimu huku wengine wakibainisha kuwa  walimu pia wanachangia kuongeza kwa  utoro shuleni. Na Nizar Khalfan. Zoezi la ukamataji la wazazi wa wanafunzi watoro limeanza wilayani kondoa ambapo zaidi ya wazazi kumi na…

17 March 2023, 2:59 pm

WANAWAKE WASHIRIKI KWENE NGAZI ZA MAAMUZI , KISWAHILI CHAAJWA.

NA KHADIJA RASHID, PEMBA. “KISWAHILI kimenifanya niwe maarufu ndani na nje ya nchi yangu. Lugha hii niliipenda tangu nikizoma shule. Licha ya umaarufu nilioupata kupitia Kiswahili, lugha hii imechangia maendeleo yangu binafsi na taifa kwa ujumla.” Ni kauli ya Consalata…