Radio Tadio

Dini

25 July 2023, 5:46 pm

Viongozi wa dini Geita waipongeza serikali kuvutia wawekezaji

Kutokana na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji hali ambayo imekuwa kivutio kikubwa cha wawekezaji jambo hilo limepongezwa na viongozi wa dini. Na Mrisho Sadick: Viongozi wa dini mkoani Geita wameipongeza serikali ya…

10 July 2023, 3:35 pm

Wahitimu vyuo vya Biblia watakiwa kuisaidia jamii

Wahitimu wa vyuo mbalimbali vya Biblia wa Muungano wa makanisa ya Kipentekoste Tanzania wametakiwa kutumia ujuzi na elimu ambayo wanaipata kwenye vyuo hivyo kuisaidia jamii. Na Kale Chongela: Askofu Mkuu wa makanisa ya kipentekoste Tanzania Eliaza Issack  amewataka wahitimu wa…

26 June 2023, 3:56 pm

Wanandoa watakiwa kumtegemea Mungu

Tukio hilo la kufungisha ndoa liliambatana na sherehe za dekania ya Mtakatifu Yohane Mbatizaji zilizofanyika parokiani Kigwe ambazo zilitanguliwa na uzinduzi wa nyumba mpya ya mapadri parokiani hapo. Na Bernad Magawa. Makamu wa Askofu Mkuu wa Jimbo kuu katoliki Dodoma…

June 23, 2023, 7:57 am

Vijana kufanya kongamano Makete

Mkurugenzi wa Elimu na vijana KKKT-DKK Makete Mwl. Kudra Jekela akizungumza na WanaMakete hususani Wakristo na Vijana wote kupitia Redio Jamii (KITULO FM) kuhamasisha wajitokeze kwa wingi kwenye Kongamano la Vijana linalotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 30 Juni-02 Julai 2023. Kudra…

14 June 2023, 12:10 pm

Viongozi kanisa katoliki waaswa kudumisha amani, baraka

Viongozi wamekumbushwa kuwa na mshikamo ili kuepusha migongano mbalimbali isiyokuwa ya lazima. Na Bernad Magawa. Viongozi wa kanisa jimbo kuu katoliki Dodoma wameaswa kuwa wasikilizaji wazuri wa shida za wale wanaowaongoza huku wakikumbushwa kufanya utafiti wa kina kabla wa kutolea…