Radio Tadio

Afya

7 April 2023, 17:23

Zifahamu athari za ugonjwa wa P.I.D

Je mtu asipopata tiba au kutozingatia tiba aliyopewa atapata athari gani. Na Yussuph Hassan. Tukiendelea na mfululuzo wa kuzungumzia juu ya Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke P.I.D, baada ya kufahamu chanzo matibabu yake na leo tunazungumzia juu athari…

6 April 2023, 14:29

Wananchi Nguji kuondokana na tatizo la huduma za afya

Jengo la zahanati ya nguji ni miongozi mwa majengo mapya zaidi ya saba ya kutolea huduma za afya yanayoendelea kujengwa wilayani Bahi. Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Nguji wilayani Bahi wanatarajia kuondokana na tatizo la kukosa huduma za…

4 April 2023, 15:48

Ufahamu ugonjwa wa P.I.D

Maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke yanayosababishwa na bakteria wakati mwingine huweza kupelekea ugumba. Ugonjwa wa maambukizi katika via vya uzazi P.I.D ni moja kati ya magonjwa ya zinaa yanayoweza kusababisha ugumba kwa mwanamke endapo hatapatiwa tiba kwa wakati.

30 March 2023, 18:52

Zaidi ya wananchi 2249 wapatiwa elimu ya kujikinga na MARBURG

Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imefanikiwa kufikia makundi mbalimbali ya watu ikiwemo  wahudumu wa afya  ngazi jamii  na Wahudumu wa Afya Vituoni. Na Mindi Joseph. Elimu ya kujikinga na ugonjwa wa Marburg imeendelea kutolewa kwa  kila mtanzania…