Afya
16 December 2022, 12:09 pm
Usafi kiboko ya magonjwa ya mlipuko
RUNGWE- MBEYA NA: SABINA MARTIN Msimu huu wa mvua zilizoanza kunyesha wilayani Rungwe mkoani Mbeya wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari na kuzingatia afua za afya ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu. Akizungumza na Chai FM ofisini kwake afisa…
16 December 2022, 11:53 am
Matumizi ya dawa kiholela chanzo cha magonjwa sugu
RUNGWE, Imeelezwa kuwa matumizi ya dawa za binadamu bila kufuata ushauri wa daktari ni chanzo cha usugu wa magonjwa na hatimaye kupelekea kifo. Hayo yamesemwa na mganga mkuu wa Wilaya ya Rungwe Dkt Diokles Ndaiza wakati akizungumza na Chai…
9 December 2022, 7:22 pm
Jamila Yusuph ameagiza hadi tare 30 Dicemba kituo cha Afya Mwamkulu kiwekimekami…
MPANDA. Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph amemuagiza Mkurugenzi wa manispaa ya Mpanda kuhakikisha ujenzi wa kituo cha afya kata ya Mwamkulu unakamilika ifikapo terehe 30 december 2022. Ameyasema hayo wakati wa ziara ya ukaguzi katika kituo hicho na…
8 December 2022, 5:39 pm
Asilimia 88 ya kaya Mpanda zinatumia vyoo Bora.
MPANDA Asilimia 88 ya kaya katika manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi inatumia vyoo bora huku asilimia 12 za kaya zilizobaki hazina vyoo bora kutokana na kuwa na hali duni ya Maisha. Akizungumza na Mpanda radio FM afisa afya Manispaa ya…
2 December 2022, 3:37 pm
RC Katavi azindua utoaji wa chanjo ya matone ya polio awamu ya nne Wilaya ya Mle…
KATAVI wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Katavi kuwa chanjo ya Polio ni salama na haina madhana ya aina yoyote kwa wanao patiwa chanjo hiyo. Mrindoko ametoa kauli hiyo 1Desemba 2022 wakati akizindua chanjo hiyo…
1 December 2022, 10:38 pm
Maambukizi mapya ya VVU Manispaa ya Mpanda yashuka mbaka 3.5%
MPANDA Katika kuadhimisha siku ya ukimwi duniani Manispaa ya mpanda imefanikiwa kupunguza maambukizi mapya ya virusi na kufikia asilimia 3.5. Akizungumza na mpanda radio fm mganga mkuu manispaa ya mpanda dk paul swankala amesema takwimu ya 3.5 inamaanisha kila wagonjwa…
29 November 2022, 6:24 pm
UZAZI WA MPANGO UNASAIDIA KUPUNGUZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI.
Imeelezwa kuwa matumizi ya Uzazi wa Mpango yanasaidia kupunguza kwa asilimia kubwa vifo vitokanavyo na Uzazi kwa akina mama.. Hayo yameelezwa na Dr Boniface Mabonesho Mtaalamu wa Masuala ya Afya ya Uzazi kutoka Zahati ya Mwagala iliyopo Wilayani Maswa Mkoani …
26 November 2022, 6:56 am
Wafanyabiashara watakiwa kuchukua tahadhari ya magonjwa ya mlipuko
MPANDA Wafanyabiashara kata ya Kashaulili manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kufanya usafi katika maeneo yao ya biashara ikiwa ni pamoja na kuchukuwa tahadhari dhidi ya magonjwa ya mlipuko. Wito huo umetolewa na Afisa mtendaji wa Kata ya Kashaulili Merry…
23 November 2022, 5:47 pm
Wafanyabiashara wametakiwa kulipa Ushuru
MPANDA Wafanyabiashara Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kutoa ushuru kikamilifu,ili fedha hizo ziweze kusaidia kuboresha miundombinu mbalimbali ikiwamo ya elimu na afya. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Sofia Kumbuli ambapo amesema kuwa swala…
22 November 2022, 5:44 am
Mkoa Wa Dar Es Salaam Umezindua Rasmi Kampeni Ya Nyumba Kwa Nyumba Ya Kudhibiti…
Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele (NTDS) leo imezindua rasmi zoezi la kampeni ya nyumba kwa nyumba ya ugawaji wa Kingatiba kuthibiti Ugonjwa wa matende na mabusha (Ngirimaji) litakalo tekelezwa katika Halmashauri za…