Radio Tadio

Afya

12 May 2023, 13:41

Wauguzi Pangani waombwa kuboresha mawasiliano kwa wagonjwa

Na Erick Mallya Ikiwa leo ni siku wa wauguzi duniani,wauguzi wilayani pangani mkoani tanga wameombwa kuboresha mahusiano na mawasliano baina yao na wagonjwa Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi wilayani pangani walipozungumza na pangani FM katika ripoti maalum ya maadhmiho…

12 May 2023, 5:50 am

Nsimbo Walia na Utapiamlo

MPANDA. Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi inakabiliwa na changamoto ya utapia mlo licha ya kuzalisha mazao mengi ya chakula. Hayo yamesemwa na kaimu mganga mkuu hospitali ya halmashauri ya wilaya ya Nsimbo daktari Wambura Waryoba katika mkutano wa taarifa kwa…

8 May 2023, 14:59

Zifahamu dalili za hatari kwa mama mjamzito

Je ni dalili zipi hizo ambazo ni hatari kwa mama mjamzito? Na Yussuph Hassan. Leo tunazugumzia dalili hatari kwa Mama mjamzito ambapo Dkt Abdallah Majaliwa kutoka hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma anaeleza kuhusu dalili hizo.

4 May 2023, 16:09

Zifahamu sifa za watoto wenye Usonji

Dkt Arapha Aragika kutoka hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe. Picha na Yussuph Hassan. Watoto wenye usonji pia wanazo sifa mbalimbali kama anavyo ainisha Dkt. Arapha. Na Yussuph Hassan. Leo tunaendelea kuzungumzia sifa za watoto wenye usonji, tukiungana…

2 May 2023, 13:43

Je Usonji ni nini

Je usonji ni nini na husababishwa na nini. Na Yussuph Hassan. Usonji ni tatizo linalojitokeza mapema utotoni, ambapo mtoto huwa na mapungufu kwa kupenda kujitenga na kutotaka kuwa karibu na watu. Usonji ni ugonjwa unaonekana kwa watoto kuanzia mwaka mmoja…