Radio Tadio

Afya

23 March 2023, 7:19 pm

Elimu juu ya ugonjwa wa kifua kikuu(TB)

Wananchi mbekenyera na Namungo wilayani Ruangwa wapewa elimu na huduma ya kupima ugonjwa wa kifua kikuu (TB) bure kwa kuchukua sampuli za wenye dalili za kifua kikuu ikiwa ni muendelezo wa shughuli za wiki ya kifua kikuu wilaya ya rungwa…

22 March 2023, 6:26 pm

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya Marburg

Ugonjwa huu huambukizwa kutoka kwa Binadamu mmoja kwa mwingine hususani kwa njia ya kugusa majimaji ambayo yanaweza kuwa mate , mkojo, damu, machozi au kinyesi yatokayo kwenye maiti au Mgonjwa mwenye dalili, maambukizi pia yanaweza kutoka kwa Wanyama kwenda kwa…

22 March 2023, 3:46 pm

Serikali yadhamiria kudhibiti na kutokomeza kifua kikuu

Immelezwa kuwa watu wenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa wa kifua kikuu(TB)  ni pamoja na wale wanaoishi katika makazi duni, Watoto, Wavuvi na  wanafunzi wanaoishi bweni. Serikali imedhamiria kuendelea kushirikiana na wadau katika sekta zote ili kudhibiti na kutokomeza ugonjwa…

21 March 2023, 7:20 pm

Waadventista Wasabato Ifakara wachangia Damu

Kutokana na changamoto ya upatikanaji wa Damu katika maeneo ya kutolea huduma za Afya,Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato-Ifakara wamejitokeza kuchangia Damu ili kuiunga mkono Serikali. Na Katalina Liombechi Jumla ya Chupa 36 za Damu zimepatikana baada ya watu waliojitokeza…

21 March 2023, 5:39 pm

Dkt. Mollel azungumza na wataalamu wa Afya.

Na Pius Jayunga. Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wataalamu wa Afya kutomchukia pindi anapofanya maamuzi ya kumtoa Mganga Mkuu wa Wilaya kwani hufanya hivyo kwa nia njema ya kuboresha huduma za afya kwa wananchi. Dkt. Mollel ametoa…

21 March 2023, 12:47 pm

Wanaoishi maisha duni hatarini kupata ugonjwa wa kifua kikuu

Imeelezwa  kuwa  Jamii  inayoishi  katika  Makazi  Duni   ipo hatarini  kuugua  Ugonjwa   wa  Kifua  kikuu  kutokana  na  hali  zao za  Maisha   na  Mfumo  wa  Maisha  wanayoishi.. Hayo  yameelezwa  na   Mratibu  wa Mapambano  dhidi  ya  Kifua  Kikuu  kutoka Muungano  wa  Wadau wa…