Afya
11 May 2023, 5:06 pm
Watumishi wa Afya waaswa kuepuka uchepushaji wa dawa zenye asili ya kulevya
Mafunzo ya wasimamizi wa dawa tiba zenye asili ya kulevya yamehusisha wataalamu wa afya kutoka vituo mbalimbali Dodoma lengo ikiwa kuhakikisha dawa hizo zinaendelea kutumika katika lengo lako sahihi la kutibu. Na Yussuph Hassan. Wito umetolewa kwa watumishi wa afya…
10 May 2023, 8:01 pm
Hospitali ya Benjamini Mkapa yazindua huduma ya upandikizaji Uloto
Nchi ya Tanzania inashika nafasi ya 4 kuwa na wangojwa wengi ulimwenguni wa Selimundu huku wenye watoto Elfu 11000 kwa mwaka wanaweza kufa kabla ya kufikisha umri wa miaka 5 sawa na asilimia 50 hadi 90. Na Mariam Kasawa. Waziri…
10 May 2023, 4:01 am
Wananchi Katavi Waneemeka Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani
KATAVI Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya Wauguzi duniani Wananchi wa mkoa wa Katavi wameombwa kujitokeza katika viwanja vya kashaulili kwa ajili ya kupima na kupatiwa matibabu bure. Akizungumza katika uzinduzi huo mgeni rasmi mstahiki meya wa manispaa ya Mpanda…
8 May 2023, 2:59 pm
Zifahamu dalili za hatari kwa mama mjamzito
Je ni dalili zipi hizo ambazo ni hatari kwa mama mjamzito? Na Yussuph Hassan. Leo tunazugumzia dalili hatari kwa Mama mjamzito ambapo Dkt Abdallah Majaliwa kutoka hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma anaeleza kuhusu dalili hizo.
5 May 2023, 4:06 pm
Nini unatakiwa kufanya unapo bainiĀ dalili za usonji kwa mtoto
Le Dkt Arapha anaeleza hatua zinazopaswa kuchuliwa unapoona dalili za Usonji kwa mtoto. Picha na Yussuph Hassan. Na Yussuph Hassan. Leo tunaendelea kuzungumzia nini cha kufanya endapo mzazi au mlezi akiona dalili za mtoto mwenye usonji, tunaungana na Dkt Arapha…
4 May 2023, 4:09 pm
Zifahamu sifa za watoto wenye Usonji
Dkt Arapha Aragika kutoka hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe. Picha na Yussuph Hassan. Watoto wenye usonji pia wanazo sifa mbalimbali kama anavyo ainisha Dkt. Arapha. Na Yussuph Hassan. Leo tunaendelea kuzungumzia sifa za watoto wenye usonji, tukiungana…
3 May 2023, 1:25 pm
Ukosefu wa elimu ya Afya ya uzazi kwa vijana wachangia ukatili
Ameeleza nini kifanyike ili kusaidia kundi hilo la vijana kupata elimu hiyo. Na Alfred Bulahya Imeelezwa kuwa kukosa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana ni miongoni mwa sababu inazosababisha kuendelea kwa vitendo vya ukatili ndani ya jamii. Hayo yameelezwa…
2 May 2023, 1:43 pm
Je Usonji ni nini
Je usonji ni nini na husababishwa na nini. Na Yussuph Hassan. Usonji ni tatizo linalojitokeza mapema utotoni, ambapo mtoto huwa na mapungufu kwa kupenda kujitenga na kutotaka kuwa karibu na watu. Usonji ni ugonjwa unaonekana kwa watoto kuanzia mwaka mmoja…
27 April 2023, 6:13 pm
Wasimamizi ujenzi wa kituo cha Afya Nkuhungu wapewa wiki tatu kukamilisha
Kituo hicho pindi kitakapokamilika kinatarajia kuhudumia zaidi ya wananchi elfu 40 wa kata ya Nkuhungu. Na Fred Cheti. Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mh Jabir Shekimweri amewataka wasimamizi wa ujenzi wa mradi wa kituo cha afya Cha Nkuhungu ndani ya…
27 April 2023, 5:58 pm
Surua Yawatia Hofu Wakazi wa Dirifu
MPANDA Wananchi wa kijiji cha Dirifu kata ya Magamba manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kuwapa elimu juu ya ugojwa wa surua ambao unasambaa katika kijiji hicho. Wakizungumza na Mpanda redio fm wananchi wameainisha kuwa baadhi ya familia katika…