Radio Tadio

Afya

30 August 2023, 4:58 pm

Jamii yatakiwa kujenga mazoea ya kutumia maziwa

Daktari Malaki amesema kuwa maziwa hayasaidii kusafisha mfumo wa hewa  kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakiamini. Na Aisha Alim. Jamii imeshauriwa kujenga mazoea ya kunywa maziwa mara kwa mara ili kuimarisha afya zao kutokana na maziwa hayo kuwa na…

30 August 2023, 7:54 am

Wanahabari Pemba watakiwa kuandika habari za uchunguzi kuhusu GBV

Udhalilishaji ni vitendo ambavyo vinapigiwa kelele siku hadi siku katika maeneo mbalimbali nchini, hivyo ni vyema kuhakikisha tunashirikiana kwa pamoja kutokomeza suala hili ambalo limekuwa likirejesha nyuma maendeleo. Na Mwiaba Kombo Afisa mkuu wa mawasiliano na uchochemuzi kutoka Chama cha…

29 August 2023, 1:56 pm

Wazazi watakiwa kuwapeleka watoto hospitali kupatiwa huduma ya tohara

Wananchi wametakiwa kutumia fursa ya kwenda kufanya matibabu kwenye kambi inayoendelea katika Hospitali ya Kivunge. Na Omary Abdallah. Wizara ya Afya Zanzibar imesema kufanyika kwa kambi za magonjwa mbalimbali hapa nchini kunasadia kwa kiasi kikubwa kuwapatia huduma wananchi kwa ukaribu pamoja…

28 August 2023, 12:57 pm

Jamii yashauriwa kuzingatia Zaidi matumizi ya Asali

Asali inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana katika kupambana na magonjwa mbalimbali na matatizo yatokanayo na uzee, kwa mujibu wa tafiti mpya za wataalamu wa madawa na vifaa tiba, jarida la World News limeandika kuwa…

28 August 2023, 11:58 am

Jamii yatakiwa kutambua umuhimu wa kunde kiafya

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirika la Kilimo na Chakula Duniani FAO, imesema zao la Kunde na vyakula vyote vya jamii ya kunde ni nafuu na vitamu huku vikiwa na kiwango kikubwa cha protini na hivyo huweza kutumiwa badala ya…

25 August 2023, 17:24

Jamii mkoani Kigoma yatakiwa kujikinga na magonjwa ya mlipuko

Magonjwa ya mlipuko mkoani Kigoma yanaweza kudhibitiwa iwapo hatua mbalimbali zitachukuliwa na jamii. Jamii mkoani Kigoma imetakiwa kushirikiana vyema na wadau wa sekta ya afya ili kuondoa tatizo la magonjwa ya mlipuko ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara. Mganga Mkuu…