Recent posts
26/04/2021, 8:02 pm
Wanahabari Wafundwa
Na,Glory Paschal Waandishi wa Habari wametakiwa kutumia kalamu zao kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa masuala ya Ukatili katika kupinga vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto vitendo ambavyo vimeshamili kwenye jamii Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Media…
23/04/2021, 4:51 pm
Zaidi ya Wanafunzi 600 wafundishwa na Walimu 8
Na,Timotheo Leonardi Shule ya Sekondari Ruchugi iliyopo Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa walimu hali inayopelekea wanafunzi kupata wakati mgumu kufanya vizuri kwenye mitihani yao Hayo yamebainishwa na mkuu wa shule ya Sekondari Ruchugi Godwin Omela…
23/04/2021, 4:15 pm
Shilingi 7.3bilioni kutengeneza mtandao wa barabara
UVINZA Na,Editha Edward Wananchi katika wilaya ya UVINZA mkoani Kigoma wameiomba serikali kupitia TARURA kuongeza kasi katika ujenzi wa barabara ya Uvinza mjini ili Kuruhusu shughuli za kiuchumi za wananchi kufanyika kwa urahisi Wakizungumza na Radio Uvinza Baadhi yao wamesema…
22/04/2021, 5:24 pm
Ushirikiano hafifu chanzo cha ukatili wakijinsia Mkoani Kigoma
KIGOMA Na, Glory Kusaga Jumla ya Kesi 881 za vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia Mkoani Kigoma zimeripotiwa kwa kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba Mwaka jana hadi Machi 2021 huku kesi 138 tu ndizo zimefika mahakamani huku changamoto ikitajwa kuwa ni…
21/04/2021, 10:22 am
Suluhisho la Vifo vya Wajawazito lapatikana
KIGOMA Na, Glory Paschal Serikali ya Mkoa wa Kigoma ikishirikiana na wadau wa Afya imezindua mpango wa dharula wa miaka mitatu ya kukabiliana na vifo vya mama mjamzito na mtoto mchanga ambavyo kwa sasa vimeongezeka na kufikia asilimia 95 katika vituo…
18/04/2021, 8:56 am
Mafuriko yakumba Kaya 50
KIGOMA Na; Glory Kusaga Takribani kaya 50 zilizopo Kata ya Katubuka manispaa ya kigoma ujiji Mkoani Kigoma zimekumbwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani kigoma.Baadhi ya waathirika Wamesema changamoto ya maji kukaa katika makazi yao ni kubwa na…
16/04/2021, 3:35 pm
Kilio cha Walemavu chatatuliwa
UVINZA Na, Editha Edward Baada ya Redio uvinza fm kuripoti taarifa ya watu wenye ulemavu kupatiwa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na kila halmashauri kwa takribani miezi mitano iliyopita ili kujikwamua kiuchumi halmashauri ya wilaya ya uvinza mkoa wa kigoma…
16/04/2021, 1:27 pm
Wananchi wa Kibirizi wawashukuru Viongozi wao
Na; Glory Kusaga KIGOMA Wananchi wa kata ya Kibirizi Manispaa ya kigoma ujiji wamewashukuru Viongozi wa kata hiyo kwa jitihada za kudhibiti matukio ya wizi na udokozi yaliyokuwa yanaathiri Maendeleo yao . Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema Vitendo vya wizi vimekuwa…
24/03/2021, 10:48 am
Wananchi wa Nkungwe wilayani Kigoma washukuru serikali kwa kuondoa kero ya maji.
KIGOMA. Wananchi wa Kata ya Nkungwe Halmashauri ya Wilaya Kigoma Mkoani Kigoma wamepongeza Serikali kuwasaidia kuwapelekea huduma ya maji kwani kwa muda mrefu wamekuwa wakitumia maji ya visima hali iliyosababisha kuungua magonjwa ya mlipuko mara kwa mara. Wananchi hao wameeleza…