Recent posts
5 February 2026, 4:23 pm
TRA Uvinza yatoa mafunzo mfumo mpya wa IDRAS
IDRAS ni mfumo jumuishi wa kodi za ndani unaolenga kumwezesha mlipakodi kupata huduma mbalimbali za kikodi akiwa katika eneo lake la biashara. Na Abdunuru Shafii Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kigoma imeendesha mafunzo kwa wafanyabiashara wa Wilaya ya…
3 February 2026, 2:06 am
Mbinu zinazochangia upotevu wa mazao shambani
Kila msimu wa mavuno unapofika, mashamba mengi vijijini hujaa tabasamu na matumaini ya maisha bora, lakini nyuma ya furaha hiyo kuna ukweli usioonekana kirahisi. Jasho la mkulima la miezi mingi mara nyingi huishia kupotea shambani, si kwa sababu ya ukame…
3 February 2026, 1:21 am
Bima ya afya kwa wote sasa bure kwa kaya masikini
Naomba mkatoe elimu kwa wananchi na kuhakikisha wanaelewa mkakati wa serikali wa kutoa bima ya afya kwa wote Na. Emmanual Kamangu Wanufaika kaya masikini TASAF elfu 66800 mkoani kigoma Kunufaika bure na bima ya afya kwa wote ikiwa ni mpango…
3 February 2026, 12:54 am
Watendaji waonywa kutoingilia mashauri ya mahakama
Maadhimisho ya Siku ya Sheria yameelezwa kuwa ni jukwaa muhimu la kujenga uelewa kwa wananchi kuhusu haki zao, wajibu wa kuheshimu sheria, na mchango wa mahakama katika kujenga taifa lenye amani, haki na maendeleo endelevu. Na. Abdunuru Shafii Mahakama ya…
30 January 2026, 12:21 am
Baraza la Madiwani lapitisha bajeti ya bil. 51.05 Uvinza
bajeti hii inalenga kuboresha utoaji wa huduma za kijamii na kiuchumi kwa wananchi, ikiwemo sekta za elimu, afya, miundombinu, maji pamoja na maendeleo ya kiuchumi kwa ujumla. Na Abdunuru Shafii Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza limepitisha…
18 January 2026, 4:14 pm
Wazazi wametakiwa kushirikiana malezi ya watoto wao
kulelewa kwa mtoto na mzazi mmoja pekee kunaweza kusababisha changamoto mbalimbali ikiwemo upweke, msongo wa mawazo na athari nyingine za kisaikolojia Ezra Mesharck Wazazi wametakiwa kushirikiana kikamilifu katika malezi ya watoto wao ili kuhakikisha watoto wanakua katika mazingira salama, yenye…
24 December 2025, 7:19 pm
Mazoezi ni muhimu kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza
Tunatakiwa kufanya mazoezi mara kwa mara ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo pia kuendelea kujenga afya zetu. Na Emmanuel Kamangu. Wananchi wilayani kasulu wametakiwa kujenga tabia ya kufanya mazoezi mara kwa mara ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo kujenga afya…
22 December 2025, 9:26 am
Lupimo sanitarium clinic yarudisha kwa jamii Kigoma
sisi tutaendelea kuwasiliana na kusaidia kwa kile tutakachokuwa tumekipata Abdunuru shafii Kituo cha afya cha Lupimo Sanitarium Clinic, ambacho kinapatikana katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, kimetoa msaada kwa Kituo cha Kulea Watoto Yatima cha Subra Minaramani, kilichopo Ujiji, mkoani Kigoma…
19 November 2025, 12:57 am
Wakulima Uvinza waomba fedha za kimataifa ziwafikie
Na. Abdunuru Shafii Karibu kusikiliza Makala fupi inayozungumzia kwa kina athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi katika kilimo nchini Tanzania, hususan katika Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma. Wakulima wamekuwa wakikumbana na mabadiliko yasiyotabirika ya mvua ikiwemo vipindi virefu…
10 November 2025, 10:18 am
Tanzania yaweka kipaumbele jinsia na tabianchi COP30
Wadau wa maendeleo wanaaswa kuwekeza katika elimu, teknolojia rafiki kwa mazingira, na miradi ya kiuchumi itakayowawezesha wanawake kuwa sehemu ya suluhisho la mabadiliko ya tabianchi. Na Abdunuru Shafii Wanawake wa wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wameendelea kukabiliwa na athari kubwa…