Uvinza FM
Je mfumo dume unawanyima wanawake nafasi za uongozi ndani ya vyombo vya habari?
4 July 2023, 2:54 pm
Na Groly Kusaga
Wanawake wengi wamekuwa wakikutana na changamoto mbalimbali zinazowakwamisha katika kutekeleza majukumu yao na kusahau kuwa wanawake wana uwezo wa kufanya mambo makubwa wanapopewa nafasi ndani ya vyombo vya habari na uongozi kwa ujumla.