
Recent posts

29 March 2025, 7:09 pm
Kamati ya afya msingi Uvinza kutoa elimu ya magojwa ya mlipuko
Kila mmoja anatakiwa kutimiza wajibu wake kwa kuchukua tahadhari kwa kila hatua ili kujikinga na kuwakinga wengine. Na Abdunuru Shafii Kamati ya afya ya msingi ya wilaya ya Uvinza imefanya kikao katika ukumbi wa halmashauri kwa lengo la kutoa elimu…

25 March 2025, 9:10 am
Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya m-pox
Diwani wa wa kata ya kumunyika Bw. Seleman Kwirusha kutoa rai kwa wananchi kuhakikisha wanajikinga na ugonjwa hatari wa homa ya nyami kwa kufuata taratibu za kiafya. Na. Emmanuel Kamangu Diwani wa wa kata ya kumunyika ambaye pia ni Makamu…

14 March 2025, 3:00 pm
Kampeni ya ugawaji wa vyandarua bure ngazi ya kaya yaanza wilayani uvinza
Licha ya mafanikio yaliyopatikana katika kupunguza visa vya malaria, bado kuna changamoto ya baadhi ya wananchi hutumia dawa za Malaria bila kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya. Na Abdunuru Shafii Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI…

12 March 2025, 12:41 pm
Tuimarishe usafi kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama marburg
Wananchi wametakiwa kuimarisha usafi na kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama marburg katika maeneo yao. Na Abdunuru Shafii Wakazi wa mtaa wa Mjimwema kata ya Nguruka halmashauri ya wilaya Uvinza wameeleza namna wanavyojikinga na magonjwa ya mlipuko ikiwemo ugonjwa wa…

6 March 2025, 11:25 pm
Maadhimisho ya wanawake Uvinza yaleta tija kwa jamii
Kuelekea kilele cha maadhisho ya wanawake duniani 2025, serikali imetoa fedha zaidi ya milioni tatu katika halmashauri ya wilaya ya uvinza kwa ajili ya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu ambapo wanatakiwa watumie katika kuleta maendeleo. Na Theresia Damasi Kuelekea kilele…

5 March 2025, 12:00 am
Walaji wa wanyama wa mwituni hatarini kupata marburg
Ameseama jamii inapaswa kuchukua tahadhari kwa kuepuka kugusa au kula nyama ya popo, au nyama ya mnyama wa mwituni akiwemo nyani. Na Theresia Damasi Wananchi wa Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma na maeneo ya jirani wameshauriwa kuchukua tahadhari juu ya…

28 February 2025, 4:20 pm
Chukueni tahadhari dhidi ya ugonjwa wa marburg
Wafanyakazi wa Uvinza FM wamepatiwa elimu juu ya ugonjwa wa marburg na namna ya kujilinda na ugonjwa huo. Na Linda Dismas Msimamizi wa vipindi wa Uvinza fm Bw. Abdunuru Shafii ameeleza namna ambavyo ugonjwa wa Marburg unaenezwa pamoja na kuwataka…

26 February 2025, 11:48 am
Tumieni sanduku la maoni kuzisema kero zenu
Mtendaji wa kata ya uvinza awasihii wananchi kutumia sanduku la maoni kuziwasilisha kero zao pamoja na mapendekezo yao. Na Linda Dismas Wananchi wa kata ya Uvinza wameaswa kutumia sanduku la maoni kwa kuwasilisha kero zao. Hayo yameelezwa na Afisa mtendaji…

24 February 2025, 11:11 pm
Wanafunzi wapata mafunzo kwa vitendo
Wanafunzi wamepata mafunzo ya namna ya urushaji wa matangazo redioni, ikiwa wapo katika kujifunza mada ya Antena. Na Theresia Damas Wanafunzi katika shule ya msingi Nyambutwe wilayani uvinza wamepata mafunzo ya namna ya urushaji wa matangazo redioni, ikiwa wapo katika…

22 February 2025, 6:59 pm
Ukosefu wa mfumo wa utiririshaji maji kilio kwa wananchi
Wananchi mkoa wa Kigoma walia na serikali juu ya ukosefu wa mfumo wa utiririshaji wa maji wadai kunawapelekea kupatwa na magonjwa ya mlipuko. Na Linda Dismas Wananchi wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wameeleza changamoto wanazokumbana nazo kutokana na kutokuwa na…