Radio Tadio

Utalii

1 Januari 2024, 21:10

Serengeti yaendelea kung’ara hifadhi bora barani Afrika

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti imejipanga kuendelea kuboresha huduma mbalimbali ili kuwavutia watalii na kuifanya kuendelea kuwa hifadhi bora ya kwanza barani Afrika. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Kamishna Msaidizi wa Hifadhi Moronda B. Moronda…

04/12/2023, 13:50

Utalii wa ndani umeongezeka kwa 159%

Elimu ya utalii imeendelea kuwaingia wananchi hali ambayo imekuwa ikichochea ukuaji wa utalii wa ndani kwa kasi. Na Mrisho Sadick – Geita Idadi ya utalii wa ndani imeongezeka kwa asilimia 159 mwaka 2023 huku wananchi wakihimizwa kuendelea kutembelea nakuwekeza kwenye…

16/11/2023, 14:17

Mbio za baiskeli kupamba tamasha la Chato utalii festival

Chato imedhamiria kukuza uchumi wake kupitia utalii kwa kutangaza vivutio vilivyopo katika eneo hilo kupitia matamasha mbalimbali ikiwemo la Chato Utalii Festival. Kuelekea katika tamasha la Chato Utalii Festival Novemba 26 mwaka huu , Mkuu wa wilaya ya Chato Deusdedit…

25/10/2023, 11:23

Chato Utalii Festival kuvutia wawekezaji

Mkakati wa wilaya ya Chato kutangaza fursa za uwekezaji katika sekta ya utalii umeanza kupitia matamasha mbalimbali. Na Mrisho Sadick: Wilaya ya Chato imepanga kutumia tamasha la Chato Utalii Festival kuvutia wawekezaji katika sekta ya Utalii kwakuwa wilaya hiyo ina…

09/08/2023, 17:56

Uzinduzi msimu utalii wa nyanguni Msimbati

Na Grace Hamisi Wananchi wa kata ya Msimbati mkoani Mtwara wametakiwa kujipanga na kupokea mabadiliko juu ya wageni wanaotembelea na kujifunza vivutio mbalimbali vilivyopo katika maeneo hayo. Wito huo umetolewa August 5, 2023 na Bi Esha Chilonda afisa mtendaji wa…

28/06/2023, 12:42

Idadi ya watalii wa ndani yaongezeka

Na: Kale Chongela: Idadi ya watalii wazawa katika Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato imeendelea kuongezeka kutokana na hamasa inayoendelea kutolewa kwa wananchi  ikiwemo filamu ya Royal Tour ambayo imekuwa na msukumo mkubwa kwa wakazi wanaozunguka hifadhi hiyo kutembelea kujionea…

14/03/2023, 12:04

Wananchi Wahimizwa kufanya utalii wa ndani Jijini Dodoma

Wananchi Mkoani Dodoma wamehimizwa kuwa na utaratibu wa kufanya utalii wa ndani ukiwemo utalii wa matukio, kwenda maeneo maarufu mkoani hapo, ikiwemo pia na maeneo ya mashamba makubwa yanayolima zao la zabibu. Na Fred Cheti. Katika Kuufanya Mkoa wa Dodoma…