Radio Tadio

miundombinu

25/02/2026, 12:15

Watumishi ajira mpya Manispaa ya Geita wapigwa msasa

“Naamini baada ya mafunzo haya mtaendelea kuwa na utendaji wenye tija na kuzingatia miiko ya utumishi wa UMMA kwa kujiepusha na vitendo vyenye kujenga taswira mbaya ya Serikali kwenye Jamii” -Mkurugenzi Yefred Myenzi Na: Ester Mabula Jumla ya watumishi 209…

16/10/2025, 08:02

TAKUKURU yagusa uhai wa watoto njiti Songwe

Kwa ajili ya watoto  wachanga wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) Na Ezekiel Mwinuka Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU nchini Crispin Chalamila amekabidhi vifaa hivyo leo na kwamba vimenunuliwa kwa michango ya watumishi nchini wa Takukuru nchini kwa lengo la kuunga juhudi…

16/12/2023, 11:27

Mfungata:Tutaendelea kujenga lami zaidi Kyela

Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Samia Suluhu Hasani imepanga kujenga barabara zinazogawa mitaa ndani ya Wilaya ya kyela katika bajeti ya 2023-2024. Na Nsangatii Mwakipesile Wakati serikali ikiendelea kutekeleza Miradi mbalimbali hapa nchini mhandisi wa TARURA Karim Mfungata ametoa…

09/12/2023, 13:34

Kyela:Barabara 21 zakarabatiwa Butihama

Pichani ni Mwenyekiti wa kitongoji cha Butihama hapa wilayani Kyela Yohana Mwambungu akiwa katika moja ya makaravati mapya yaliyojengwa.Picha na James Mwakyembe. Wananchi wa kitongoji cha Butihama wameipongeza serikali kwa kufanikisha ujenzi wa barabara 21 pamoja na makaravati 14 hali…

Oktoba 9, 2023, 4:47 um

Makete kutumia shilingi bilioni nne miradi ya maendeleo

Kutokana na chanagamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa wilaya ya Makete hususani katika miundombinu ya sekta za elimu, afya, kilimo na ujenzi serikali imetoa fedha zaidi ya bilioni 4 kutatua changamoto hizo. Na Aldo Sanga Zaidi ya bilioni nne (Tsh. 4,489,684.61)…

Oktoba 7, 2023, 9:41 mu

DC Samweli Sweda aagiza Fundi kuongeza Kasi ujenzi wa Bwalo

katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa wakati mkuu wa wilaya ya Makete Mh:Samweli Sweda ametembelea miradi inayotekelezwa katika maeneo yote ya Wilaya ya makete Huku akitoa maagizo kwa watendaji na mafundi kukamilisha miradi hiyo kwa wakati na Aldo Sanga…