Radio Tadio

Kipindupindu

29 January 2024, 8:00 pm

Kipindupindu chatajwa kuwakumba wanawake zaidi nchini

Kipindupindu unatajwa kuwa ugonjwa hatari ambao huambatana na kuharisha na kutapika huku ikielezwa kuwa ni asilimia 10 tu ya wagonjwa wanaopata kipindupindu na kulazwa hospitali huku wengine wakitembea na vimelea vya ugonjwa huo. Na Mariam Matundu.Wanawake nchini Tanzania wanatajwa kuongoza…

18 January 2024, 8:56 am

Yafahamu madhara ya ugonjwa wa kipindupindu

Yafahamu madhara ya ugonjwa wa Kipindupindu endapo mtu atabainika kuwa na ugonjwa huo. Na Yussuph Hassan.Tukiwa katika muendelezo wa kupata elimu juu ya ugonjwa wa kipindupindu na leo tunafahamu madhara ya ugonjwa huo endapo mtu akibainika kuwa na kipindupindu. Afisa…

17 January 2024, 8:50 am

Mambo ya kuzingatia kuepuka kipindupindu

Jamii imekumbushwa kuendelea kunawa na maji tiririka pindi wanapotoka maliwato ili kujilinda na kujikinga na maradhi hayo. Na Yussuph Hassan.Ikiwa tunaendelea kuelimisha Jamii kuhusu Ugonjwa wa Kipindupindu, Jamii imesisitizwa kuhakikisha wanajenga na kutumia Vyoo bora ili kupekuna na ugonjwa wa…

10 January 2024, 6:25 pm

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhali ya kipindupindu

Changamoto ya kipindupindu imetajwa kuenea kwa kasi zaidi hasa kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa ikianzia katika wilaya ya Bariadi mkoa wa Simiyu, ambapo mpaka sasa katika mkoa wa Mwanza wamebainika wagonjwa wa kipindupindu 27 kwenye maeneo ya wilaya ya…

1 November 2023, 11:52 am

18 wagundulika na kipindupindu Maswa,  mmoja afariki dunia

Na Nicholaus Machunda Watu  18 wamegundulika  na  ugonjwa  wa  kipindupindu wilayani  Maswa  mkoani  Simiyu  huku  mmoja akifariki dunia  kutokana  na  ugonjwa  huo. Hayo  yamesemwa  na  Mratibu  wa  Elimu  ya  Afya  kwa  Umma   Halmashauri  ya  Wilaya  ya  Maswa  Bi, Salma  Mahizi  wakati …