Kijamii
3 February 2024, 16:31
Kyela:Samia Mgeni rasmi maridhiano day Mbeya
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dokta Samia Suluhu Hasan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku ya mamaridhiano day itkayofanyika machi 3 2024 mkoani Mbeya.Na Masoud Maulid Kuelekea siku ya maadhimisho ya Maridhiano day yatakayofanyika march 3.2024 kamati ya…
5 September 2023, 1:00 pm
Wanawake Micheweni walia kutelekezwa na waume zao.
Wanawake na watoto wamekuwa ni wahanga wakubwa kwenye suala zima la utelekezaji hivo ipo haja kuhakikisha kuwa tunashirikiana kwa kina kuhakikisha tunaondoa tatizo hilo ambalo linapigiwa kelele siku hadi siku katika jamii zetu Na Mwiaba Kombo
4 September 2023, 10:25 am
Serikali yawakaribisha wawekezaji sekta ya Madini
Na Mwandishi wetu WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekutana na ujumbe kutoka Korea Kusini uliojumuisha viongozi wa makampuni makubwa ya madini yanayohusika na mnyororo wa thamani wa uzalishaji betri za magari ya Posco Holdings, Posco…
4 September 2023, 10:20 am
ASAS akubali kuwa Mlezi wa Machinga
Na Frank Leonard MFANYABIASHARA Salim Asas kutoka mkoani Iringa amekubali kupewa hadhi ya umachinga katika tukio lilikowenda sambamba na kuitikia wito wa kuwa mlezi na mwanachama wa Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA). Katika tukio hilo lililofanyika katika soko la…
4 September 2023, 9:46 am
Madiwani Tanganyika waomba mafunzo ya hewa ya Ukaa
TANGANYIKA Ili Kuitambua biashara ya hewa ya ukaa Madiwani wilaya ya Tanganyika wameitaka Halmashauri hiyo kuwapa madiwani Mafunzo ya biashara ya hewa ya ukaa. Wakizungumza katika kikao cha baraza la madiwani cha robo ya nne ya mwaka Wamesema katika vikao…
31 August 2023, 11:13 am
Katibu tawala Bunda ateta na wakuu wa shule Bunda mji
Kiongozi bora halalamiki bali anatafuta ufumbuzi wa matatizo ya watu walio chini yake. kipimo cha uongozi ni jinsi gani kiongozi anaweza kuleta ushawishi kwa watu na kufikia maendeleo yaliyotarajiwa. Na Thomas Masalu Imeelezwa kuwa kipimo cha uongozi ni jinsi gani kiongozi anaweza kuleta ushawishi kwa watu na kufikia maendeleo yaliyotarajiwa. Kiongozi bora halalamiki bali…
30 August 2023, 10:07 am
KKKT wamuaga Ambele Mwaipopo
MPANDA Idara ya wanawake wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Jimbo la Katavi wamefanya hafla ya kumuaga Askofu wa Dayosisi ya ziwa Tanganyika Ambele Mwaipopo ambaye anakaribia kumaliza muda wake. Awali akisoma taarifa Mwenyekiti wa Idara ya wanawake…
29 August 2023, 10:41 am
Wananchi Butakale walia na huduma za maji, barabara
Wakazi wa mtaa wa Butakale kata ya Bunda Stoo halmashauri ya mji wa Bunda wamelalamikia changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama pamoja na changamoto ya tembo katika maeneo yao. Na Adelinus Banenwa Wakazi wa mtaa wa Butakale kata…
24 August 2023, 1:32 pm
Mapya yaibuka kifo cha mtoto aliyekutwa jengo la shule, wazazi wafunguka
Mwili wa mtoto aliyekutwa amefariki dunia maeneo ya shule ya sekondary ya Ellys iliyoko mtaa wa Mbugani kata ya Manyamanyama halmashauri ya mji wa Bunda umetambuliwa. Na Adelinus Banenwa Mussa Iramba mkazi wa Hunyari ambaye ni baba mzazi wa mtoto…
18 August 2023, 3:56 pm
Wafanyabiashara watakiwa kuhama pembezoni mwa barabara Zanzibar
Mkuu wa wilaya ya Magharibi B Hamida Mussa Khamis, amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wakiwemo wa matunda na mbogamboga kwenda kufanya biashara zao katika masoko ya muda yaliyopangwa na serikali ikiwemo Kwerekwe C, Kwerekwe Sheli pamoja na Soko la Jumbi. Na…