Gesi
5 February 2024, 14:08 pm
Fahamu manufaa ya uwepo wa shughuli za Gesi Kijiji cha madimba katika Miradi ya…
Kwa mujibu wa SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema kiwango cha uchakataji wa gesi asilia kwa miaka nane katika kiwanda cha kuchakata gesi asilia cha Madimba kimeongezeka kutoka futi za ujazo milioni 20 mwaka 2015 hadi kufikia futi za…
31 October 2023, 12:53 pm
Makala – Sera ya ushiriki wa wazawa wa manispaa ya Lindi kuelekea kunufaik…
Na Musa Mtepa Katika makala haya tunaangazia nafasi ya ushiriki wazawa hasa vijana wa Manispaa ya mkoa wa Lindi kuelekea kunufaika na fursa ujenzi wa kiwanda cha uziduaji na uchakataji wa Gesi cha LNG mkoani Lindi. kusikiliza makala haya Bonyeza…
31 October 2023, 11:43 am
Makala – Vijana wamejiandaaje na Fursa za uwepo wa wa Gesi Mikoa ya Kusini
Na Musa Mtepa Kipindi kinazungumzia uwepo wa shughuli za uzalishaji Gesi katika mikoa ya kusini Lindi na Mtwara, je Vijana wamejiandaaje kukabiliana na fursa hiyo. Kupitia kipindi hiki tumezungumza na Victor Kaiza mkufunzi wa chuo cha Elimu ya mafunzo ya…
6 October 2023, 12:04
Tamasha la Maryprisca mama ntilie festival 2023 lawapa kicheko mama lishe Busoke…
Jukumu la kutunza mazingira ni la kila mmoja,wakati Dunia ikisisitiza kuachana na matumizi ya kuni na mkaa badala yake utumie teknolojia ya nishati gesi jamii inawajibu wa kutekeleza hayo ili kuepukana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Na mwandishi wetu…
26 September 2023, 11:41
Waziri Ndalichako agawa mitungi 400 ya gesi Kasulu
Uamzi wa serikali kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi ni miongoni mwa mikakati ya kukabiliana na uharibifu wa mazingira kwa kukata kuni za kupikia. Na, Hagai Ruyagila Jumla ya mitungi ya gesi 400 yenye thamani ya shilingi milioni 30 imetolewa…
5 August 2023, 14:58 pm
Makala: Matumizi bora ya gesi ya kupikia majumbani
Na Musa Mtepa Makala haya yanasimulia matumizi bora ya nishati ya kupikia majumbani maarufu kama gesi ya kupikia, ambapo mkoani Mtwara tayari wananchi wanatumia mitungi ya kampuni mbalimbali za gesi kwa ajili ya kupikia pia tayari kuna mtandao wa gesi…
29 April 2023, 14:52 pm
MAKALA – Ladha ya chakula kilichopikwa kwa nishati ya Gesi
Na Musa Mtepa Kutokana na kukuwa kwa Technolojia Binadamu ameweza kubadilika na kuendana na mazingira husika yanayoendana na mabadailiko hayo ambayo sio tu kwa wakazi wa mijini bali hata katika maeneo ya Vijijini. Zamani ukienda vijijini na kukutana na Mzee…
10 April 2023, 11:29 am
Fahamu matumizi ya gesi asilia nyumbani
Na Mussa Mtepa Uwepo wa mtandao wa gesi asilia kwaajili ya kupikia katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mtwara kumesaidia kumtunza mazingira na muda wa kukaa jikoni kwaajili ya maandalizi ya chakula. Katika makala haya utasikia wanufaika mbalimbali wa…
8 July 2022, 14:52 pm
Fahamu uhusiano uliopo kati ya Jamii na kampuni za gesi
Fahamu ushirikiano ulipo kati ya jamii na kampuni ya gesi katika kiwanda kilichopo kata ya Madimba mkoani Mtwara. Makala haya yanaangazia namna gani wananchi wanaweza kupata ajira katika eneo hilo la uchakataji wa Gesi asilia katika kata ya Madimba …
21 September 2021, 12:20 pm
Dodoma waidhimisha siku ya amani duniani kwa kudumisha amani mitaani
Na; Shani Nicolous. Kufuatia maadhimisho ya siku ya amani Duniani mwenyekiti wa wenyeviti wote jijini Dodoma Matwiga Kiyatya amesema wajibu wao ni kuhakikisha mitaa yote jijini inakuwa katika hali ya amani. Akizungumza na Taswira ya habari kupitia kipindi cha Dodoma…