Radio Tadio

Chanjo

9 July 2026, 6:33 pm

Mradi wa chuo cha VETA Nyang’hwale tumaini jipya

Mradi huo unatarajiwa kukamilika hivi karibuni huku kukiwa na matumaini makubwa kwa wakazi wa wilaya hiyo juu ya mradi huo. Na Mrisho Sadick Kukamilika kwa mradi huo itakuwa fursa kwa wakazi wa wilaya hiyo Mradi wa Ujenzi wa Chuo cha…

4 June 2026, 1:28 pm

DC Kingalame akabidhi madawati zaidi ya 1,000 Nyangh’wale

Madawati hayo yanatarajiwa kuanza kusambazwa mara moja katika shule za sekondari zilizoathirika zaidi na upungufu huo, hatua inayotarajiwa kuboresha mazingira ya ufundishaji. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mkoani Geita Grace Kingalame amekabidhi zaidi ya madawati 1,000 kwa…

4 June 2026, 11:30 am

Mama, mtoto wafariki kwa sumu ya carbon monoxide Mpanda

“Tulikuta watoto hao wakiwa katika hali mbaya na mama wa watoto hao, baada ya muda mfupi aliishiwa nguvu tukawawahisha hospitali kwa ajili ya matibabu.” Na Anna Milanzi -Katavi Mama aliyefahamika kwa jina la Happiness Ngunda (25) pamoja na mtoto wake,…

15 May 2026, 11:24 pm

Maboto achangia laki sita, maziwa harambee Bunda DDH

Utoaji wa fedha hizo ni sehemu ya kuendeleza ushirikiano kati ya taasisi ya Mabotto na sekta ya afya kwa lengo la kusaidia makundi yenye uhitaji maalum, hususan watoto wanaozaliwa kabla ya wakati pamoja na wananchi wenye changamoto za kiafya. Na…

1 May 2026, 7:42 pm

Vikundi 21 vyakopeshwa milioni 162 Nyang’hwale

Katika mwaka wa fedha 2025/2026 Nyang’hwale imetenga zaidi ya shilingi milioni 396 kwa ajili ya mikopo hiyo, ambapo hadi sasa zaidi ya shilingi milioni 280 tayari zimeshatolewa, sawa na zaidi ya asilimia 70 ya utekelezaji. Na Mrisho Sadick: Serikali wilayani…

28 March 2026, 1:12 pm

Shibalanga wafutwa machozi ujenzi wa Zahanati

Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta huduma za afya vijiji jirani hatimae wakazi wa Shibalanga wafutwa machozi. Na Mrisho Sadick – Geita Wakazi wa Kijiji cha Shibalanga wilayani Nyang’hwale mkoani Geita wameipongeza serikali kwa kuchukua hatua za haraka za…

26 January 2026, 6:04 pm

Hati za kimila 838 zatolewa kwa wananchi Nyang’hwale

Ugawaji wa hati za kimila ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuhakikisha wananchi wanakuwa na umiliki halali wa ardhi. Na Mrisho Sadick: Kuelekea siku 100 za uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,…

8 January 2026, 11:36 am

Nyang’hwale yasisitiza matumizi ya teknolojia kukuza biashara

Ucheleweshaji wa marejesho una punguza juhudi za serikali kuendelea kutoa fedha za mikopo kwa vikundi vingine. Na Mrisho Sadick: Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita imewataka wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 kutumia teknolojia ya mawasiliano ikiwemo mitandao ya…