Storm FM

Storm FM

4 May 2021, 6:55 pm

Tumekuja kuinua soka la wanawake

Na Mrisho Sadick: Mwenyekiti wa Chama cha Soka la wanawake Mkoani Geita Mwalimu Veronica William ameahidi kuinua soka la wanawake Geita kwa kuanza na shule za Msingi. Amesema hayo siku chache baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho nakuahidi…

4 May 2021, 6:47 pm

Atelekezwa baada ya kubeba ujauzito Geita

Na Mrisho Sadick: Msichana (15) Mkazi wa Mtaa wa 14 Kambarage mjini Geita ametelekezwa na mume wake alieahidi kumuoa baada ya kubeda ujauzito. Msichana huyo anaefahamika kwa jina la Letisia Masanja  mzaliwa wa wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza ambae alipotezana…

4 May 2021, 6:39 pm

Baba auza mbuzi nakutelekeza familia

Na Mrisho Sadick: Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamme Mmoja katika Mtaa wa 14 Kambarage mjini Geita ameuza mashine na mbuzi za familia kisha kwenda kuoa Mwanamke mwingine. Akizungumza na Storm FM Bi Hadija Mbita amesema kwasasa familia yake inakabiliwa…

3 May 2021, 6:56 pm

Mtendaji akataliwa baada ya kususia kikao cha kata

Na Mrisho Sadick: Kikao cha maendeleo ya kata katika kata ya Mganza wilayani Chato mkoani Geita kimeadhimia kwa pamoja  kutofanya kazi na Afisa mtendaji wa kata hiyo baada ya kuonesha utovu wa nidhamu kwa kususia kikao hicho. Inaelezwa kuwa sababu…

3 May 2021, 6:18 pm

Ajinyonga hadi kufa kisa kakutwa na vvu Geita.

Na Mrisho Sadick: Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Shija Mwanzalima (30) Mkazi wa Mtaa wa Nyantorotoro A mjini Geita kujinyonga hadi kufa. Kamanda amesema kabla ya Shija kufanya kitendo hicho alimjeruhi Mtoto wake…

1 May 2021, 12:33 pm

TBS yatoa mafunzo kwa wajasiriamali Geita

Wajasiriamali wa  Mamlaka ya mji Mdogo  wa Katoro wilayani na Mkoani Geita  wamekutana na  viongozi wa  shirika la viwango Tanzania TBS  kwa lengo la kuwapatia   mafunzo ya kutengeneza bidha mbalimba zenye ubora na viwango vinavyokubalika. Akizungumza kwenye  mafunzo hayo Mkuu…

1 May 2021, 12:12 pm

Acheni kufugia kuku vyandarua jikingeni

Na Kale Chongela: Wakazi wa mtaa wa Msalalaroad kata ya kalangalala Halmashauri ya mji wa Geita  wameshauriwa  kuendelea kuzingatia matumizi ya vyadarua ili kujikinga na mbu waenezao malaria nasiyo kuvitumia kwa matumizi mengine ikiwemo kufugia mifugo. Rai hiyo imetolewa na …

1 May 2021, 11:40 am

Ajeruhi Mtoto kisha kajinyonga hadi Kufa

Mwanaume aliejulikana kwa jina moja la Shija (30) Mkazi wa Mtaa wa Nyantorotoro “A” mjini Geita amemjeruhi Mtoto wake kwa kitu chenye ncha kali tumboni kisha na yeye kujinyonga hadi kufa huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika. Akizungumza…

27 April 2021, 2:49 pm

Vijana msibague kazi

Vijana Mkoani Geita wameshauriwa kuacha tabia ya kubagua kazi na badala yeke wajishughulishe na kazi zozote za halali zenye kuwaingizia kipato. Kale Chongela Mwandishi wa Storm FM amepiga Stori na Kijana alieamua kujiajiri kwa utengenezaji wa Bustani na uuzaji wa…