Storm FM

Storm FM

21 April 2021, 11:15 am

Wanasoka Geita waomba kujengewa uwanja wa kisasa

Na William Petro: Mashabiki na wapenzi wa wa soka mkoni Geita wameuomba uongozi wa mkoa kuangalia namna ya kukamilisha ujezi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu kwani miundombinu ni sehemu ya maendeleo ya soka. Wapenzi na mashabiki hao…

21 April 2021, 10:46 am

GGML yapewa ruhusa uchimbaji wa wazi

Na Joel Maduka: Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Anglo Gold Ashanti Kupitia mgodi wake wa Geita Gold Mining Limited (GGML) imepokea ruhusa ya mpango wa uchimbaji madini wa mwaka 2021 unaohusisha uchimbaji wa wazi na wa chini kwa chini…

19 April 2021, 6:34 pm

Wanafunzi wasifu ujenzi wa shule Mpya Geita

Wanafunzi Wa Shule Ya Sekondari Ya Evarist Iliyopo Kata Ya Nyarugusu Wilayani Geita Wameipongeza Serikali Kwa Kushirikiana Na Wadau Wa Maendeleo Katika Eneo Hilo Kwa Kufanikisha Ujenzi Wa Shule Hiyo. Wakizungumza Katika Shule Hiyo Ambayo Imeanza Kutoa Elimu Ya  Kidato…

19 April 2021, 6:23 pm

Wafanyabiashara waomba mpangilio Mzuri wa soko

Na Elizabeth Obadia: Wafanyabiashara wa wa soko la asubuhi la Nyankumbu halmashauri ya mji wa Geita wameuomba uongozi wa mtaa huo kuweka mpangilio mzuri wa soko ili kuwasaidia wao kupata wateja kwa wepesi. Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wafanyabiashara…

16 April 2021, 6:23 pm

Shule mpya ya sekondari kuondoa changamoto Geita

Na Mrisho Sadick: Kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari Evarist iliyopo kata ya nyarugusu wilayani Geita umesaidia kupunguza mrundikano wa wanafunzi  katika shule ya sekondari ya nyarugusu iliyopo katani humo. Akizungumza na Storm FM shuleni hapo afisa elimu wa…

16 April 2021, 6:06 pm

Geita Gold FC yaapa kupanda ligi kuu 2021/22

Na William Petro: Klabu ya soka ya Geita Gold FC ya mkoani Geita inayoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania bara imesema kuwa mchezo wake wa kesho 17/04/2021 dhidi ya Pamba FC ya Mwanza ndio otakatoa hatima ya klabu hiyo kupanda…

16 April 2021, 5:56 pm

Takukuru Mkoani Geita yaokoa zaidi ya Million 300

Na Joel Maduka: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Geita kwa Kipindi cha kuanzia Januari hadi Machi 2021 imefanikiwa kuokoa kiasi cha zaidi ya Tanzania shilingi milioni miatatu ambazo zilikuwa zimefanyiwa ubadhirifu kwa njia mbalimbali za rushwa…

9 April 2021, 12:16 pm

Mwanaume (32) wilayani Chato ajinyonga hadi kufa

Na Mrisho Sadick: Mtu mmoja mwenye umri wa miaka (32)  mkazi wa kijiji cha Izumangabo kata ya Bwanga wilayani chato mkoani Geita amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kikoi cha mke wake huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika. Tukio…