Storm FM

Storm FM

26 May 2021, 2:17 pm

Mkoa wa Chato wapendekezwa kuundwa na wilaya 5

Kikao cha kamati ya ushauri cha mkoa wa Geita (RCC) kimekubaliana kwa pamoja kuwa mkoa mpya  wa Chato  utakaomegwa kutoka katika mkoa wa Geita na mikoa jirani za kagera na kigoma utaundwa na wilaya tano za Chato,Bukombe,Ngara,Bihalamulo na kakonko. Kikao…

21 May 2021, 5:52 pm

Wachimbaji Watakiwa Kuondoa Migogoro Kazini

Na Joel Maduka: Wachimbaji wadogo   ambao wamekuwa wakifanya shughuli zao kwenye  Mikoa  ya Kanda ya ziwa  wametakiwa  kuondoa tofauti  ambazo zimekuwa zikisababisha migogoro ya mara kwa mara  hali inayochangia  kushindwa kuungana ili  kuweza kukuza uzalishaji wao na kuufanya kuwa…

20 May 2021, 8:05 pm

Wazazi na Walezi Wagomea Chanjo Nyankumbu, Geita

Na Mrisho Sadick: Wazazi na walezi katika mtaa wa uwanja kata ya Nyankumbu mjini Geita  wameshauriwa  kuwaruhusu watoto wao kupatiwa dawa  za kinga tiba ya kichocho  na minyoo ili kuwakinga na changamoto hiyo. Rai hiyo imetolewa na Mganga mfawidhi wa…

20 May 2021, 2:25 pm

Watu Wawili Wakamatwa Wakichinja Mbwa Geita

Na Zubeda Handrish: Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu wawili ambao hawajafahamika kwa majina yao wamekamatwa na jeshi la polisi baada ya kukutwa wakichinja mbwa katika mtaa wa Msalala road Halmashauri ya mji wa Geita. Wakizungumza na Storm FM wananchi…

13 May 2021, 9:47 am

Kikundi cha WhasApp cha Geita Huru chatoa msaada

Na Mrisho Sadick: Kikundi cha WhatsApp cha Geita Huru kimeungana kwa pamoja kuwatembelea watoto wenye uhitaji wakiwemo yatima katika kituo cha Bright Light kilichopo Geita mjini ambapo wametoa msaada wa chakula na vifaa vya usafi kwa ajili ya watoto hao.…

13 May 2021, 9:42 am

Mgogoro wa wachimbaji wa dhahabu wamalizika

Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita wameipongeza serikali kupitia wizara ya madini kwa kumaliza mgogoro wa wachimbaji katika mgodi wa Nyakafuru. Wakizungumza na Storm FM siku chache baada ya waziri wa madini Mhe, Dotto…

12 May 2021, 9:28 am

Wajilinda kuzuia ndoa za utotoni

Na Mrisho Sadick: Wakazi wa kijiji cha Igate kata ya Nzera halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita wameweka mikakati ya  kutokomeza vitendo vya baadhi ya wazazi wenye tabia ya kuozesha watoto wadogo badala ya kuwapeleka shule. Wakizungumza na Storm…

11 May 2021, 6:01 pm

Watoto 2,578 Wapatiwa Chanjo Mkoani Geita

Na Mrisho Sadick: Watoto 2578 waliochini ya umri wa miaka mitano wamepatiwa chanjo katika mkoa wa Geita kwenye wiki ya Maadhimisho ya chanjo  ya Umoja wa Mataifa(UN) idadi ambayo ni mkubwa ukilinganisha na lengo la serikali ya mkoa huo ya…