Storm FM

afya

9 May 2024, 3:04 am

Wakazi wa kijiji cha Nyakayondwa hawana zahanati

Vituo vya afya na zahanati ndizo ngazi za kwanza za afya zinazoigusa jamii moja kwa moja. Licha ya serikali kuweka mpango wa kurahisisha huduma za afya kwa kuboresha miundombinu, kwa wakazi wa kijiji cha Nyakayondwa bado ni kitendawili. Na: Evance…

30 April 2024, 6:49 pm

Wananchi zaidi ya 200 wamejitokeza kupima afya na GGML

Watu wengi hawazingatii usalama mahala pa kazi hali ambayo inawafanya kupata madhara ikiwemo ya kiafya yanayowafanya kushindwa kuendelea na kazi. Na Mwandishi wetu: ZAIDI ya watu 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)…

13 April 2024, 1:55 pm

Wanawake Nyankumbu waondokana na adha ya kujifungulia njiani

Changamoto ya wanawake kujifungulia njiani imekuwa ikiripotiwa kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu huku sababu mbalimbali ikiwemo Umbali, uchumi na miundombinu duni katika baadhi ya maeneo ya kutolea huduma za afya zikihusishwa kupelekea hali hiyo kutokea. Na Mrisho Sadick…

16 February 2024, 2:44 pm

Kinababa pelekeni watoto kwenye chanjo

Jamii imetakiwa kuona umuhimu wa kuwapeleka watoto wao kupatiwa chanjo ili kuwakinga na maradhi mbalimbali. Na Mrisho Shabani: Kina baba Mkoani Geita wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapeleka watoto wao wenye umri wa kuanzia miezi tisa hadi miaka mitano kupatiwa chanjo…

11 March 2022, 5:43 pm

Waiba mali na kubaka watu wawili wa familia moja.

Na Zubeda Handrish: Katika hali ya kusikitisha familia moja katika mtaa wa Majengo uliopo kijiji cha Kasamwa mkoani Geita wamevamiwa na kuibiwa mali na wanafamilia wawili wanawake kubakwa na watu sita. Baada ya tukio hilo kutokea wamezungumza wahusika.

23 September 2021, 6:19 pm

Watu wenye ulemavu bado wana changamoto.

Na Zubeda Handrish: Shirika lisilo la kiserikali la Internews Tanzania limetoa mafunzo maalumu ya siku mbili ili kuwajengea uwezo wanahabari wa Tanzania kuandika kwa usahihi habari za watu wenye ulemavu zenye mchango katika maendeleo ya watu wenye ulemavu. Mafunzo hayo…

22 September 2021, 9:39 am

Aomba vifaa vya masomo.

Gideon Moses ni Kijana mwenye ulemavu wa viungo vya mwili ambaye anakula chakula kwa kutumia miguu ambaye anaishi Mtaa wa #Mwatulole pamoja na wazazi wake. Mwenyekiti wa mtaa wa #Mwatulole Bw. Noel Ndasa amekiri kuwepo kwa mtoto huyo katika eneo lake na kwamba mara…