Storm FM

Uncategorized

16 February 2024, 2:44 pm

Kinababa pelekeni watoto kwenye chanjo

Jamii imetakiwa kuona umuhimu wa kuwapeleka watoto wao kupatiwa chanjo ili kuwakinga na maradhi mbalimbali. Na Mrisho Shabani: Kina baba Mkoani Geita wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapeleka watoto wao wenye umri wa kuanzia miezi tisa hadi miaka mitano kupatiwa chanjo…

29 September 2023, 12:34 pm

TBA yaupiga mwingi mradi wa majengo mkoa wa Geita

Na Zubeda Handrish- GeitaWakala wa majengo Tanzania (TBA) kupitia kwa Meneja wa TBA mkoa wa Geita Mhandisi Gladys Jefta Septemba 28,2023 amesema awamu ya kwanza (phase one) ya ujenzi wa majengo saba ya serikali  katika Mkoa wa Geita imekamilika ambapo…

19 September 2023, 10:44 pm

Mgogoro wakulima na wafugaji waitesa Chikobe

Changamoto ya wakulima na wafugaji bado imeendelea kusumbua katika baadhi ya maeneo mkoani Geita. Na Said Sindo- Geita Wakulima wa kijiji cha Chikobe kata ya Nyachiluluma, wilayani na mkoani Geita wamesema wapo hatarini kukumbwa na njaa baada ya mashamba yao…

5 August 2023, 8:12 pm

Watu 25 wakamatwa tuhuma za madawa ya kulevya

Serikali imeendelea kujenga mizizi katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya kwa kuuanda klabu za kupinga matumizi hayo katika shule za msingi na sekondari. Na Mrisho Sadick: Watuhumiwa 25 wa dawa za kulevya wamekamatwa na kufikishwa mahakamani wilayani Geita ikiwa…

15 July 2023, 5:32 pm

Geita Gold FC yaanza kusuka kikosi

Leo ni siku ya 15 tangu kufunguliwa kwa dirisha kubwa la usajili ambapo Julai 1, 2023 rasmi vilabu katika ngazi mbalimbali za ligi ziliruhusiwa kuongeza wachezaji kwaajili ya msimu mpya wa 2023/24. Na Zubeda Handrish- Geita Klabu ya Geita Gold…

17 December 2022, 2:37 pm

GGML yaipa donge nono Geita Gold FC

Na Zubeda Handrish: Kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Geita Golid Mining Limited (GGML) @anglogoldashantitanzania imeingia udhamini kwa mara nyingine tena na Geita Gold Football Club kwa mkataba mnono wa thamani ya Sh. Milioni 800 kwa mwaka 2022/2023. Kufuatia mkataba…

17 December 2022, 2:29 pm

Uwanja wa Magogo mbioni kukamilika

Na Zubeda Handrish: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita Zahara Michuzi ametoa tathimini ya maendeleo ya uwanja utakaotumiwa na klabu ya @geitagoldfc ulioko Magogo akisema zaidi ya Bilioni 1.8 zimetumika hadi sasa huku bajeti ya awamu ya kwanza ya kukamilisha uwanja…

17 December 2022, 2:13 pm

Storm FM funga mwaka

Na Zubeda Handrish: Storm FM tukiwa tunaukamilisha mwaka 2022 tunafunga na Bonanza la Funga Mwaka kwa kushirikisha vilabu vya soka na michezo mbalimbali siku ya kufunga. Leo Dec 17, 2022 ni ufunguzi wa bonanza hilo ambapo zinaanza timu za Shadow…