Storm FM

Uncategorized

12 December 2022, 2:54 pm

Moto wa ajabu wateketeza Nyumba

        Inspekta  Edward Lukuba Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoani Geita limewataka wananchi kuendelea kutumia namba ya 114 kwa ajili ya kutoa taarifa za majanga ya moto na matukio yanayohitaji uokozi haraka kwakuwa wengi wao wamekuwa wakitoa…

12 December 2022, 2:26 pm

Serikali yaahidi kuendeleza ushirikiano na viongozi wa dini

                   Serikali imeahidi kuendelea kushirikiana na viongozi wa Dini hapa nchini kwakuwa wamekuwa msaada katika  kuchochea shughuli mbalimbali za maendeleo pamoja na kupambana na vitendo vya Ukatili wa kijinsia katika jamii. Kauli…

12 December 2022, 11:00 am

Mchungaji afariki Dunia akidai atafufuka

Na: Mrisho Sadick: Katika hali ya kushangaza Mtu anaedaiwa kuwa Mchungaji alietambulika kwa jina la Abdiel Raphael mwenye umri wa miaka (42) Mkazi wa Mtaa wa Uwanja kata ya Nyankumbu halmashauri ya mji wa Geita amefariki dunia kwa kile kilichoelezwa…

15 April 2021, 6:00 pm

Wananchi washiriki kutengeneza madawati Geita

Na Paul Lyankando: Serikali ya kijiji cha Ikunguigazi wilayani mbogwe mkoani Geita kwa kushirikiana na wananchi wameendelea kutengeneza madawati ili kuondoa changamoto ya wanafunzi zaidi 890 kusomea chini. Mwenyekiti wa kijiji cha Ikunguigazi Bw Jumanne Manyasa amesema kwa kushirikiana na…

14 April 2021, 4:02 pm

Wafugaji wakaidi kuchukuliwa hatua kali Geita

Na Kale Chongela Serikali ya mtaa wa Tambukareli kata ya kalangalala Halmashauri ya mji wa Geita  imeanza utekelezaji wa kuwachukulia hatua kali wafugaji ambao hawazingatia  taratibu na kanuni za ufugaji maeneo ya mjini. Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo Bw Mabula…

9 April 2021, 12:16 pm

Mwanaume (32) wilayani Chato ajinyonga hadi kufa

Na Mrisho Sadick: Mtu mmoja mwenye umri wa miaka (32)  mkazi wa kijiji cha Izumangabo kata ya Bwanga wilayani chato mkoani Geita amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kikoi cha mke wake huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika. Tukio…

8 April 2021, 12:23 pm

Mnyama aina ya kima azua taharuki Geita

Na Mrisho Sadick Mnyama aina ya kima au mbega amezua taharuki katika Mtaa wa uwanja  mjini Geita baada ya kuingia katika makazi ya watu huku akiwa hajulikani ametoka wapi. Kima akiwa amejificha chooni Wakizungumza na Storm FM baadhi ya wakazi…