Storm FM

Geita

2 May 2024, 10:47 am

Watumishi sekta binafsi waiangukia serikali Geita

Kwakuwa serikali ndie msimamizi mkuu wa shughuli zote hapa nchini imetakiwa kufanya tathimini ya utendaji kazi wa sekta binafsi kwani zinadaiwa kukabiliwa na changamoto nyingi. Na Mrisho Sadick – Geita Wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta zisizo rasmi Mkoani Geita…

25 April 2024, 10:43 am

Geita Queens yazidi kudidimia ligi ya wanawake

Ligi kuu ya wanawake Tanzania bara inaendelea ambapo timu mbalimbali za Tanzania zinashiriki katika ligi hiyo Na Juma Zacharia – Geita Kikosi cha Geita gold queens cha mkoani Geita kimedondosha alama tatu katika mwendelezo wa ligi kuu ya wanawake Tanzania…

25 April 2024, 10:30 am

Mpanduji ajiua kwa kujichoma kisu kisa wivu wa mapenzi

Ingawa ni ngumu kuelewa sababu ya mtu kujaribu kujiua, watu wanaojaribu kujiua ndio wanajua ukweli wa jambo hilo, kwa mujibu wa Shirika la afya duniani  (WHO),zaidi ya watu 700,000 hufariki kwa kujiua kila mwaka. Na Ester Mabula – Geita Mpanduji…

23 April 2024, 4:21 pm

Jamii yakumbushwa kulea watoto katika misingi ya kidini

Malezi sahihi ya mtoto hutajwa kuwa kiungo muhimu katika kujenga taifa la kesho, hivyo wazazi na walezi wanahimizwa kuzingatia suala la malezi na makuzi ya mtoto kwenye misingi ya kumpendeza Mwenyezi Mungu. Na Joel Maduka – Geita Jamii imekumbushwa kuwa…

23 April 2024, 10:16 am

Ugonjwa usiojulikana waua watoto wawili Geita

Serikali kupitia Wizara ya Afya nchini imeendeleza ajenda ya kuhamasisha jamii kuzingatia kanuni bora za kiafya ikiwemo matumizi ya vyoo bora, kunawa mikono nyakati muhimu na kutunza mazingira ili kujilinda na magonjwa ya kuharisha na kutapika. Na Kale Chongela –…

22 April 2024, 5:58 pm

UVCCM Geita yaahidi kusimamia fedha za 10%

Baada ya Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI kutangaza kurejesha mikopo ya asilimia 10 kwa makundi ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu, UVCCM mkoa wa Geita yaagiza Halmashauri za Geita kutenda haki kwenye utoaji wa mikopo hiyo. Na Kale Chongela…

13 April 2024, 3:12 pm

Wajasiriamali wa soko la Lukilini kujengewa vizimba 50

Wafanyabiashara walio wengi hasa wale walioko katika maeneo ya vijijini au nje ya miji hukabiliwa na changamoto ya miundombinu duni ya kufanyia biashara zao Na Kale Chongela – Geita Baadhi ya wajasiriamali waliopo soko la Lukilini Mtaa wa Mkoani Kata…

13 April 2024, 1:55 pm

Wanawake Nyankumbu waondokana na adha ya kujifungulia njiani

Changamoto ya wanawake kujifungulia njiani imekuwa ikiripotiwa kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu huku sababu mbalimbali ikiwemo Umbali, uchumi na miundombinu duni katika baadhi ya maeneo ya kutolea huduma za afya zikihusishwa kupelekea hali hiyo kutokea. Na Mrisho Sadick…

10 April 2024, 6:21 pm

Amani na upendo vyasisitizwa sikukuu ya Eid

Viongozi mbalimbali wa serikali na dini wametoa Jumbe mbalimbali katika sikukuu ya Eid huku suala la kudumisha amani ya nchi likipewa uzito wa aina yake. Na Kale Chongela – Geita Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Geita wametakiwa kuendelea kuishi…

9 April 2024, 6:01 pm

Msako waganga wanaosababisha mauaji Geita

Matukio ya watu kudaiwa kukamatwa hovyo na wananchi katika kijiji cha Iparamasa Chato yamemuibua Kamanda wa Jeshi la Polisi. Na Mrisho Sadick – Geita Jeshi la polisi Mkoani Geita linaendelea  kuwasaka nakuwakamata waganga wa tiba asili ambao wanafanya ramli chonganishi…