Storm FM

Geita

7 April 2024, 5:50 pm

Tabibu ajiua chumbani kwa rafiki yake

Tukio la kusikitisha katika jamii baada ya tabibu kudaiwa kujiua akiwa chumbani kwa rafiki yake nyakati za usiku. Na Mrisho Sadick – Geita Afisa tabibu wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Geita Fimbo Ncheye anadaiwa kujiua akiwa kwenye chumba…

6 April 2024, 4:22 pm

Mufti wa Tanzania abariki ujenzi wa msikiti Geita

Mwezi mtukufu wa ramadhani umekuwa na manufaa makubwa kwa waumini wa dini ya kiislamu Mkoa wa Geita baada ya kiongozi wao mkuu kuwatembelea nakubariki ujenzi wa msikiti. Na Mrisho Sadick – Geita Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir ametembelea nakuweka jiwe…

3 April 2024, 2:42 pm

Alietaka kujinyonga afikishwa ofisi ya mtaa

Matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi yanaendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali kwasasa imefikia hatua ya baadhi ya watu kutaka kujitoa uhai kwasababu ambazo zinaweza kupata majibu. Na Kale Chongela – Geita Mwanamke Rejina Jumanne Mkazi wa mtaa wa Mpomvu kata…

2 April 2024, 5:24 pm

Moto walipuka nakuteketeza vitu vyote vya ndani

Katika hali isiyo ya kawaida moto ambao haukufahamika chanzo chake umelipuka na kuteketeza vitu vyote vya ndani katika nyumba ya bwana Mathius Jeremiah mkazi wa mtaa wa 14 Kambarage mjini Geita. Na Kale Chongela – Geita Vitu vya ndani katika…

13 March 2024, 4:20 pm

Wananchi wakwama kisiwani kisa kivuko

Ukosefu wa kivuko cha uhakika katika visiwa mbalimbali hapa nchini imekuwa changamoto kwa wnanchi kufanya shughuli za uchumi Wakazi wa kisiwa Cha Izumacheli wilayani Geita wamedai kukabiliwa na Changamoto ya usafiri wa Kutoka katika kisiwa hicho baada ya ferry waliyokuwa…

12 March 2024, 3:05 pm

Ubovu wa barabara wakwamisha maendeleo

Kuharibika kwa miundombinu ya barabara nakutelekezwa kwa muda mrefu bila kufanyiwa matengenezo imekuwa kikwazo cha maendeleo kwa wananchi wengi Na Mrisho Sadick – Geita Wakazi wa mitaa ya Katundu na Moringe Halmashauri ya Mji wa Geita wameiomba serikali kuijenga kwa…

10 August 2021, 2:57 pm

Tamasha la utalii Chato fursa kwa wakazi wa Geita.

Na Mrisho Sadick: Wananchi Mkoani Geita wameshauriwa kutumia fursa  ya maonesho ya utalii yanayoendelea wilayani Chato kwa kufika nakuonesha  bidhaa zao za kiasili  ikiwa ni njia mojawapo ya kujitangaza nakufahamika zaidi. Maonesho hayo yalianza kwa Waendesha mitumbwi 87 kutoka kwenye…

9 August 2021, 3:47 am

Waendesha bodaboda watoa ya moyoni.

Na Zubeda Handrish: Waendesha pikipiki maarufu Bodaboda mjini Geita wamewalalamikia vitendo vya baadhi ya abiria wenye tabia ya kusema uongo pindi wanapohitaji huduma hiyo ya usafiri. Wameyasema hayo katika egesho lao la kazi la Shilabela Msikitini kuwa baadhi ya abiria husema uongo…

9 August 2021, 3:19 am

Wachimbaji wafungiwa shughuli zao.

Na Mrisho Sadick: Wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Kanegere namba mbili Wilayani Mbongwe Mkoani Geita ,wameiomba serikali kupitia Wizara ya Madini kuwasaidia kutatua changamoto ambayo inawakabili ya kufungiwa shughuli zao na ofisi ya madini mbogwe kwa muda wa zaidi ya…