Storm FM

Geita

5 April 2021, 6:24 pm

Wananchi Geita wajivunia barabara za mitaa

 Wananchi mjini Geita wameelezea namna walivyoguswa na kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na watakavyoendelea kumuenzi kwa yale aliyowaachia ikiwamo barabara za mitaa zilizojengwa katika kipindi chake. Baadhi ya wakazi wa mtaa…

5 April 2021, 4:36 pm

Wazee Mjini Geita Waendelea kumuenzi Dkt John Pombe Magufuli

Baadhi ya wazee katika   Halmashauri ya mji wa Geita   wameomba viongozi mbalimbali kumuenzi Hayati Magufuli  kwa kuwapa kipaumbele kwa huduma mbalimbali za kijamii kama ilivyokuwa enzi za utawala wa  hayati Magufuli . Wazee hao wamesema kuwa  hayati Magufuli watamkumbuka kwa…

5 April 2021, 12:36 pm

Pikipiki yalipuka nakuwaka moto mjini Geita

Wakazi wa Mtaa wa Uwanja kata ya Nyankumbu mjini Geita wametakiwa kuwa na vifaa vidogo vya kuzimia moto wa awali  katika Makazi yao na Sehemu za biashara ili kukabiliana na majanga ya moto yanayoweza kujitokeza katika maeneo yao. Rai hiyo…

30 March 2021, 1:59 am

Barabara yapewa jina la JPM wilayani Mbogwe Mkoani Geita

Mbunge wa jimbo la mbogwe Nikodemas Maganga ameamua kuiita MAGUFULI ROAD barabara ya kilomita 3  inayotengenezwa kpitia fedha zilizotolewa na hayati Dkt John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake katika wilaya hiyo. Mbunge Maganga Amesema kutokana na mchango mkubwa wa…

29 March 2021, 5:14 pm

Miundombinu ya usafiri Mkoani Geita yaboreshwa

Watumiaji wa vyombo vya moto mkoa wa   Geita   wamesema hayati Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano watanzanaia Watamuuenzi  kwa vitendo  kwakuwa alisimamia na kuboresha Miundombinu ya usafiri. Hayo yamesemwa na  Mwenyekiti wa umoja wa…