Recent posts
13 October 2026, 5:34 pm
Huduma kwa mteja ilivyoisha kibabe manyara
Pichani kutoka kulia ni Samwel Mandari afisa uhusiano Tanesco manyara na kushoto ni mhandisi Regina Mvungi meneja Tanesco mkoa wa Manyara,(picha na Katomali Nchimbi.) Kuimarisha mawasiliano na kushughulikia changamoto za wateja, huku wakipata fursa ya kutoa maoni na mapendekezo ya…
11 October 2026, 5:16 pm
Nina la kujivunia kwenye michezo-Makau
Kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Amosi Makala aliamua kuipeleka timu ya Fountagate FC, Arusha ili kuendelea kuleta hamasa ya jiji hilo. Na Katomali Nchimbi. Manyara-Babati Mkurugenzi mkuu wa Fountaingate Tanzania Japhet Mboto Makau amesema anajivunia kuwa mmoja…
9 October 2026, 5:16 pm
Bodaboda wasakwa Manyara
Pichani ni Mrakibu wa polisi Mkoa wa Manyara Michael Mwakasungura RTO na Johnson Philipo mkaguzi wa Magari,mtahini wa Madereva,(picha na Frank Kijukuu) Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani Mkoani Manyara limeanzisha msako makali juu ya wale wanaovunja sheria za…
8 October 2026, 1:41 pm
Wafanyabiashara watakiwa kuchangamkia fursa Manyara
Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara Martin Shigela akizungumza na Wafanyabiashara, (picha na Amedius Mushi.) Baraza la Wafanyabiashara ni jukwaa muhimu linalowakutanisha wafanyabiashara wa sekta binafsi na serikali kwa lengo la kujadili na kutatua changamoto zinazoikabili. Na Katomali Nchimbi…
8 October 2026, 1:12 pm
Kundo awasili Manyara kikazi…
Pichani ni Martin Shigela,Bi Maryamu Muhongo,na Mhandisi Mathew Kundo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara,(picha na Amedius Mushi.) Wizara ya Maji haitaanzisha miradi mipya kwa sasa ili kuepusha hasara zinazoweza kujitokeza endapo mvua kubwa zitanyesha. Na Katomali Nchimbi…
26 September 2026, 2:09 pm
Tanesco Manyara yatoa elimu kwa umma kuelekea El Nino
Wananchi wametakiwa kuwa waangalizi wa miundombinu ya shirika la umeme Tanzania Tanesco hasa kipindi hiki cha kilimo. Na Katomali Nchimbi Shirika la umeme Tanzania Tanesco kupitia ofisi za mkoa wa Manyara Wilaya ya Babati mjini limetoa elimu ya usalama kwa…
24 September 2026, 2:41 pm
Shigela atembelea Mbulu
Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara Martin Shigela, picha na Katomali Nchimbi Mkuu wa Mkoa wa Manyara Martin Shigela amefanya Ziara Wilaya ya Mbulu Septemba 24/2026 na kutembelea Maeneo hatarishi yanayoweza kuathiri Miundombinu Muhimu ya Mawasiliano,kutokana na Mvua zinazotarajiwa…
19 September 2026, 4:24 pm
Manyara watahadharishwa na El Nino
Kuanza kuchukua Tahadhari Mapema ili kuepuka Madhara Na Katomali Nchimbi Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Martine Shigela, ameongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa kutembelea na kukagua maeneo mbalimbali yanayoweza kuathiriwa na mvua za El-Nino zinazotarajiwa kunyesha katika maeneo…
15 September 2026, 3:21 pm
Wazazi, walezi wapewa ushauri
Picha ya Studio ya Smile FM. Picha na Katomali Nchimbi Wazazi na Walezi kuwapatia Lishe bora ili kuwalinda na Magonjwa Nyemelezi ya Kudumaza Afya zao kwa kukosa lishe bora,na kutunza Mazingira ikiwemo kusafisha Vichaka na kuchoma moto, kuyaweka Mazingira Safi…
14 September 2026, 12:36 pm
TPDC yaeleza neema ya bomba la mafuta, gesi
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limekutana na waandishi wa habari Mkoa wa Manyara katika mafunzo ya siku moja yaliyofanyika mjini Babati, Septemba 10, 2026, kwa lengo la kutoa elimu kuhusu shughuli za mafuta na gesi nchini. Na Katomali…