Sibuka FM

ng’ombe

24 October 2025, 7:23 pm

DC Kyobya awaonya watakaohatarisha amani

“Tukahamasishe utulivu na pale kwenye viashiria vyovyote msisite kutoa taarifa,muwasisitize watu wakapige kura amani ndio msingi wa kila kitu“ Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Wakili Dunstan Kyobya, leo ameongoza kikao maalum na viongozi wa dini pamoja na…

2 October 2025, 09:34

Wazee Kasulu wataka jamii itambue mchango wao

Serikali imeahidi kuendelea kuboresha maisha ya wazee kwa kuwasaidia kupata matibabu na mahitaji mengine muhinu kama sehemu ya kuambua mchango wao katika jamii. Na Hagai Ruyagila Baadhi ya wazee katika Halmashauri ya Mji Kasulu wameiomba serikali kuwaangalia kwa jicho la…

27 September 2025, 6:46 pm

Jamii yaaswa kujifunza lugha ya alama

Na Zabron George Katika kuadhimisha siku ya Lugha ya Alama Duniani jamii imeshauriwa kuona umuhimu wa kujifunza lugha hiyo ili iweze kusaidia kurahisisha mawasiliano kati ya watu viziwi na wale wasio viziwi. Wito huo umetolewa na katibu wa chama cha…

September 25, 2025, 7:05 pm

BAKWATA Arusha yatoa msaada kwa watoto wenye mahitaji maalum

Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Arusha umetembelea na kutoa msaada wa vifaa mbalimbali katika shule ya msingi Kaloleni, inayowahudumia watoto wenye mahitaji maalum, kama sehemu ya kuelekea maadhimisho ya Maulid yatakayofanyika Jumamosi hii jijini Arusha.…

11 September 2025, 9:53 am

George akutwa amejinyonga Iringa

Changamoto ya watu kujiua inapaswa kufanyiwa uchunguzi na kutatuliwa ili kupunguza vifo katika jamii. Na Godgrey Mengele Mwanaume mmoja ajulikanaye kwa jina la George Severin Manga mkazi wa Kitongoji cha Kihesa katika Kijiji cha Ilambilole amekutwa amejinyonga kwa kile kinachodhaniwa…

29 August 2025, 5:16 pm

Marufuku watoto kwenye Mabanda ya video Geita Road

Sera ya maendeleo ya mtoto ya mwaka 2008 inaweka bayana wajibu wa jamii, wazazi na serikali kulinda watoto dhidi ya vitendo vinavyoweza kuathiri makuzi yao. Na Mwandishi Wetu: Mwenyekiti wa mtaa huo Pelana Bagume amesema hatua hiyo imechukuliwa baada ya…

August 23, 2025, 3:42 pm

Akikutwa na tuhuma hatua zichukuliwe-DC Nkinda

Katika ziara ya kusikiliza na kutatua kero DC Nkinda alipokea malalamiko kutoka kwa mwananchi Emanuel Maduhu ambaye anadai aliuziwa kiwanja na serikali ya mtaa huo ambacho kilikuwa kimeuzwa awali. Na Samuel Samsoni- Kahama Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga…

August 11, 2025, 8:00 pm

Madereva kudumisha amani, wamkaribishaRC mpya Songwe

Waendesha usafiri Songwe wamemkaribisha RC mpya wa Songwe na kuahidi kulinda amani Mkoani humo, huku wakisisitiza kushirikiana na serikali na kutojihusisha na makundi ya kihalifu. Na Stephano Simbeye Waendesha bodaboda, maguta na bajaji wamesema hawako tayari kujiunga na makundi maovu…

10 July 2025, 8:00 pm

Sangoma wanaotumia viungo vya binadamu kukiona

Siku chache baada ya Jeshi la Polisi mkoani Kagera kuwashikilia wanaume wawili ambao ni Kelvin Piason Mdolon (42), mkazi wa Mnyiha na mganga wa kienyeji pamoja na Randani Seme Mlomo (64), mkazi wa Mnyamwanga ambaye ni mtumishi wa chumba cha…

5 July 2025, 9:05 pm

Vyama vya ushirika vyachangia ukuaji wa uchumi Zanzibar

Serikali ya Mapinuzi ya Zanzibar imejipanga kufanya mageuzi kwenye Sekta ya Ushirika ili kuhakikisha inavijenga Vyama vya Ushirika kuwa imara, endelevu na vyenye kutoa tija kwa Wanachama wake. Na Mary Julius. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imedhamiria kuendeleza juhudi…

3 July 2025, 11:24 am

Zanzibar kuadhimisha siku ya ushirika duniani Kizimkazi

Na Mary Julius. Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff, amesema maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Ushirika Duniani kwa mwaka huu yatafanyika kitaifa huko Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, siku ya Jumamosi, tarehe…

2 July 2025, 12:00 pm

Wamiliki wa bar wanaoajiri watoto Sengerema waonywa

Kushamiri kwa vitendo vya watoto wadogo kutumikishwa kwenye shughuli za bar imewaibua wananchi Sengerema Na Emmanuel Twimanye: Wamiliki wa bar katika kata ya misheni Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wamepigwa marufuku kuajiri watoto chini ya umri wa miaka 18 kwa kuwa…

12 June 2025, 9:38 am

Afariki Dunia akishiriki tendo la ndoa

Na Mwandishi wetu Mwanaume mmoja Mkazi wa Kijiji cha Igelehedza kilichopo kata ya Ilembula Wilayani Wanging’ombe Mkoani Njombe Erasto Raphaely Kabupa mwenye umri wa miaka 50 amedaiwa kufariki dunia wakati akishiriki tendo la ndoa na mwanamke mmoja ambaye anadaiwa kuwa…