elimu
23 April 2024, 7:57 pm
Utumiaji wa ugoro chanzo kansa ya mdomo kwa vijana
Kufatia kuwepo na wimbi kubwa la vijana nchini kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya ikiwemo ugoro, jamii imeonywa kuachana na matumizi ya madawa hayo ili kuondokana na madhara yanayoweza kumpata ikiwemo kupata kansa. Na:Emmanuel Twimanye Vijana Wilayani Sengerema Mkoani…
19 April 2024, 11:37 am
Marufu pikipiki za Samia kuendeshea bodaboda
Chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Sengerema kimegawa pikipiki kwa viongozi wake wa kata na matawi ili kuwarahisishia kazi zao za kichama. Na:Emmanuel Twimanye Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza waliopatiwa pikipiki na chama hicho wamepigwa…
25 March 2024, 6:52 pm
Wanafunzi wachapwa viboko 75 kwa tuhuma za kufanya mapenzi shuleni
Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na vifo ni matukio mbalimbali yaliyotendwa na yanayoendelea kutendwa dhidi ya wanafunzi huku sababu kubwa ikihusisha adhabu ya viboko jambo la kusikitisha zaidi ni kuwa, utolewaji wa adhabu hizo haufuati taratibu, kanuni pamoja…
21 March 2024, 5:14 pm
TFS Sengerema yapanda miti kukabiliana na uharibifu wa mazingira
Kutokana na kuongezeka kwa changamoto ya mabadiliko ya tabianchi duniani jamii imezidi kuhimizwa kupanda na kutunza misitu ili kusaidia kupunguza hewa ya ukaa inayotajwa kutesa dunia ya sasa. Na: Elisha Magege Jamii imetakiwa kupanda miti kwenye maeneo ya wazi ili…
14 March 2024, 3:51 pm
Mitishamba chanzo cha vifo vitokanavyo na uzazi Sengerema
Vifo vitokanavyo na uzazi wilayani Sengerema vimekuwa vikitajwa kuongezeka kutokana na mwitikio mdogo wa akinamama wajawazito kuhudhuria kliniki kwa wakati na matumizi ya dawa za kienyeji. Na:Elisha Magege Matumizi ya dawa za kienyeji yatajwa kuwa chanzo cha vifo vya akinamama…
3 March 2024, 7:29 pm
Jukwaa la Mwanamke Sengerema lawashika mkono watoto wanaoshi mazingira hatarishi
Kila mwaka ifikapo tar 08 Machi dunia huadhimisha siku ya mwanamke duniani ambapo hutanguliwa na matukio mbalimbali ambayo hufanywa na wanawake, Jukwaa la mwanamke Sengerema limeanza na kutoa msaada kwa wanafunzi wanaoishi mazingira hatarishi wilayani hapo. Na;Emmanuel Twimanye Zaidi ya…
18 February 2024, 7:53 pm
CCM Sengerema yatatua mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 23
Migogoro ya Ardhi wilayani Sengerema imekuwa Changamoto jambo lililoipelekea kamati ya Sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi Sengerema kuanza kutembelea wananchi na kutatua ambapo imeanza na mgogo wa wananchi na Shule ya Msingi Kilabela uliodumu kwa zaidi ya miaka 23. Na…
18 February 2024, 7:13 pm
Wanafunzi 300 wanakaa chini Shule ya Msingi Nyamalunda Sengerema
Licha ya juhudi za Serkali kujenga na kukarabati baadhi ya vyumba vya madarasa Shule za mssingi nchini baadhi ya shule zinachangamoto kubwa ya Madawati halii inayo pellekea wanafunzi wa shulle hizo kukaa chiini. Na:Emmanuel Twimanye Wanafunzi mia tatu katika shule…
13 February 2024, 5:09 pm
CCM Sengerema yaagiza kukamatwa fundi wa nyumba za walimu
Kamati ya Sekretarieti ya ccm Wilaya ya Sengerema inafanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serkali ya awamu ya Sita, ambapo imekutana na changamoto ya Fundi aliyelipwa fedha na kushindwa kukamilisha majengo ya watumishi kisha kutokomea kusiko…
13 February 2024, 12:18 pm
Makala maalum ya siku ya Redio Duniani
Redio Sengerema ni miongoni mwa redio za kijamii zaidi ya 30 zilizopo nchini Tanzania ambayo inapatikana katika mkoa wa Mwanza wilaya ya Sengerema. Tangu kuanzishwa kwake zaidi ya miaka 20 iliyopita imekuwa na mchango mkubwa sana kwa jamii ya wakazi…