Recent posts
16 November 2020, 7:58 pm
Mkurugenzi ruangwa aagiza walimu kufundisha kwa bidii
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Ruangwa mkoani Lindi, FRANK FABIAN CHONYA, amewataka walimu kuendelea kufundisha kwa bidii na kwa mujibu wa kalenda ya masomo inavyowataka, ili kutimiza malengo ya ufaulu waliojiwekea katika halmashauri hiyo. Chonya ameyasema hayo jumatatu 16/11/2020…
22 October 2020, 2:08 pm
Wazee na viongozi wa dini ruangwa watakiwa kuhubiri amani kuelekea uchaguzi mku…
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Ruangwa mkoani Lindi FRANK CHONYA amewataka wazee na viongozi wa dini wilayani humo kuhimiza amani na mshiskamano kwa wananchi na familia zao kuelekea uchaguzi mkuu octoba 28 mwaka huu ili Taiafa liweze kuendeleza maedeleo na…
19 October 2020, 12:14 pm
Wananchi msihujumu mradi-Dc. Ruangwa
Wananchi wanaofika wilayani Ruangwa kwa ajili ya kazi mbalimbali kwenye mradi wa ujenzi wa barabara ya Nanganga Ruangwa wamenywa kutohujumu ujenzi wa mradi huu kwa kuiba mali mbalimbali ili kuiwezesha serikali kumaliza mradi huo kwa wakati. Kauli hii ameitoa mkuu…
19 October 2020, 10:40 am
DC Ruangwa: Wakulima lindeni mazao yenu
Mkuu wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi MH. HASHIM MGANDILWA, amewataka wakulima kuwa na utaratibu wa kuzidikiza mazao yao ghala kuu yanapotoka katika vyama vya msingi ili kuepuka ubadhilifu unaofanywa na baadhi ya wasafirishaji wakishirikiana na viongozi wa vyama vya…