Ruangwa FM

Recent posts

17 November 2022, 3:52 pm

Watoto wafundishwe kilimo- Chikongwe

Mwenyekiti wa halimashauri ya wilaya ya ruangwa Andrew Chikongwe amewashauri watendaji WA kata na vijiji pamoja na madiwani kuweka mipango ya wanafunzi kufundishwa kilimo ili kuwajengea watoto uwezo mzuri wa kujifunza Maisha ya kujitegemea wawapo mtaani. “Watendaji nendeni mashuleni watoto…

16 April 2021, 5:18 pm

Wananchi Ruangwa walia na kero ya katizo la umeme

Wananchi Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wamelalamikia tatizo la kukatika umeme mara kwa mara bila taarifa hali inayoelezwa kusababisha kusimama kwa baadhi ya shughuli mbalimbali hasa zile zitegemeazo nishati hiyo muhimu katika jamii. Baadhi ya wananchi hao hasa kundi la…

16 April 2021, 7:23 am

Acheni kutumia madawa ya kulevya – DC. Mgandilwa

Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi, MH. HASHIM MGANDILWA, amewataka vijana wanaojihusisha na shughuli za uchimbaji wa madini katika mgodi mdogo wa madini ya dhahabu Njawale uliopo katika kijiji cha Mibure wilayani humo, kuacha tabia ya kutumia madawa ya…

26 November 2020, 8:16 am

Namungo yaahidi furaha jumamosi

Klabu ya Namungo yenye maskani yake hapa wilayani Ruangwa mkoani Lindi imeahidi kupambana kufa ama kupona kwenye mchezo wake na timu ya Al Rabita ya Sudani siku ya jumamosi novemba 28 katika uwanja wa Chamazi jijini  Dar es salaam. Namungo…

16 November 2020, 7:58 pm

Mkurugenzi ruangwa aagiza walimu kufundisha kwa bidii

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Ruangwa mkoani Lindi, FRANK FABIAN CHONYA, amewataka walimu kuendelea kufundisha kwa bidii na  kwa mujibu wa kalenda ya masomo inavyowataka, ili kutimiza malengo ya ufaulu waliojiwekea katika halmashauri hiyo. Chonya ameyasema hayo jumatatu 16/11/2020…

19 October 2020, 12:14 pm

Wananchi msihujumu mradi-Dc. Ruangwa

Wananchi wanaofika wilayani Ruangwa kwa ajili ya kazi mbalimbali kwenye mradi wa ujenzi wa barabara ya Nanganga Ruangwa wamenywa kutohujumu ujenzi wa mradi huu kwa kuiba mali mbalimbali ili kuiwezesha serikali kumaliza mradi huo kwa wakati. Kauli hii ameitoa mkuu…

19 October 2020, 10:40 am

Dc. Ruangwa – Wakulima lindeni mazao yenu

Mkuu wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi MH. HASHIM MGANDILWA, amewataka wakulima kuwa na utaratibu wa kuzidikiza mazao yao ghala kuu yanapotoka katika vyama vya msingi ili kuepuka ubadhilifu unaofanywa na baadhi ya wasafirishaji wakishirikiana na viongozi wa vyama vya…