Recent posts
6 February 2023, 4:41 pm
Spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar ameahidi kufikisha salam za Ruangwa kwa…
Na; Jongo Sudi Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar ambae pia ni mlezi wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Lindi, Mhe. Zuberi Ali Maulid, ameahidi kufikisha salamu za uhitaji wa vifaa tiba katika jengo la wodi ya wanaume na…
3 February 2023, 7:10 pm
Tutatumia sheria kwa wazazi wasiopeleka watoto shule
Na Loveness Daniely. Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi Hassan Ngoma amesema kuanzia February 6 2023 wataanza kufanya msako mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba kwa kutumia sharia na miongozo iliyopo kwa wazazi wasio wapeleka Watoto shuleni msako…
31 January 2023, 12:06 pm
Chuo kikuu cha Dar es salaam kutoa Shahada ya pili na ya tatu ya kilimo Ruangw…
Ujenzi wa chuo kikuu cha Dar es salaamu tawi la Ruangwa kitakachotoa Shahada ya pili na ya tatu katika ngazi ya kilimo unatarajia kuanza Juni 2023. Na Loveness Daniel. Ujenzi wa chuo kikuu cha kilimo kupitia chuo kikuu cha dar…
30 January 2023, 3:50 pm
Ruangwa yapokea kilogramu 1500 ya mbegu za Alizeti
Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi imepokea mbegu za Alizeti aina ya Record nbegu chotara (certified seeds) kilogram 1,500 kutoka Tasisi ya Agricultural Seed Agency (ASA) ya mkoani Morogoro. Akizungumza baada ya kupokea mbegu hizo Afisa kilimo, Mifugo na…
30 January 2023, 7:32 am
Kushindwa kumtunza mtoto ni kosa kisheria
Ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya sheria nchini, Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, imeendela na utaratibu wa kupita katika tarafa za wilaya hiyo ili kutoa elimu ya masula ya kisheria kwa wananchi. Akizungumza na wananchi wa…
25 January 2023, 8:32 am
KINA BABA WAJIBIKENI WANAWAKE WAFUNGUE MAGOLI
“Kina Baba wajibikeni ili wakina mama wafungue magoli wanawake Wengi wanatumia uzazi WA mpango Kwa sababu wanaume hawawajibiki na wengine wanakimbia kulea” Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Ruangwa katika Mkutano kijiji cha nambilanje katika Ziara yake ya kata…
24 January 2023, 9:57 am
Maafisa Elimu Ruangwa wajazishwa mikataba ya makubaliano kusimamia utendaji kaz…
Katika kuhakikisha ufaulu unaongezeka na kufikia asilimia 100% kama ilivyo malengo ya mkoa wa Lindi na Wilaya ya Ruangwa. Maafisa Elimu kata wilaya ya Ruangwa wamejazishwa mikataba ya Utendaji kazi katika kata zao ikiwa na malengo ya kupima utendaji ulioonyeshwa…
24 January 2023, 8:41 am
Tumieni mbolea muongeze tija katika kilimo
Wakulima wametakiwa kutumia mbolea ya ruzuku ya serikali ambayo huuzwa kwa thamani ya mfuko shilingi elfu Sabini (70,000/=) ili kuongeza tija ya uzalishaji katika sekta ya kilimo huku ikielezwa kuwa kilimo cha mazoea kinatajwa kuwadidimiza wakulima kupata mavuno haba. Hayo…
23 January 2023, 8:44 am
Wazazi wapewa siku 4 Kuepeleka Watoto Shule
Mkuu wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi ametoa siku 4 Kwa wazazi na walezi kata ya mandawa na chibula kupeleka watoto ambao hawajaenda shule la sivyo karandinga kuwapitia. Ngoma amezungumza hayo katika Ziara yake kata Kwa kata baada ya kupita…
21 January 2023, 9:47 am
Bilioni 32.1 zapitishwa Bajeti ya H/W Ruangwa Mwaka wa fedha 2023/24
Baraza la madiwani Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, limepitisha Bajeti ya kiasi cha shilingi Bilioni thelathini na mbili milioni mia moja na saba laki saba na themanini na tatu elfu (32,107,783,000/=) kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024. kwa…