Recent posts
23 March 2023, 7:19 pm
Elimu juu ya ugonjwa wa kifua kikuu(TB)
Wananchi mbekenyera na Namungo wilayani Ruangwa wapewa elimu na huduma ya kupima ugonjwa wa kifua kikuu (TB) bure kwa kuchukua sampuli za wenye dalili za kifua kikuu ikiwa ni muendelezo wa shughuli za wiki ya kifua kikuu wilaya ya rungwa…
23 March 2023, 7:05 pm
Unywaji wa maziwa sio tiba ya kifua kikuu (tb) wala ya kusafisha koo kwa ajili y…
Na Loveness Daniely Unywaji wa maziwa watajwa kua sio tiba wala haiwezi kuzuia kifua kikuu TB au kusafisha vumbi kifuani bali unywaji wa maziwa huimarisha kinga ya mwili kwakua maziwa yana virutubisho vingi mwilini vyenye kuujenga mwili na kuimarisha mwili…
22 February 2023, 7:40 pm
Nimefurahishwa na miradi ya kimaendeleo – Majaliwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema anafurahishwa na mafanikio makubwa ya utekelezwaji wa ujenzi miradi mbalimbali ya maendeleo yanayoonekana katika maeneo mbalimbali nchini yakiwemo ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. “Wana-Ruangwa lazima tuendelee kumshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa…
21 February 2023, 4:55 pm
Serikali itaendelea kushirikiana na wananchi – Mh. Majaliwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuungana na wananchi katika kuimarisha miundomibu ya elimu ili kuhakikisha watoto Wakitanzania wanapata elimu bora na kutimiza ndoto zao. Waziri Mkuu…
18 February 2023, 10:07 pm
Waziri mkuu ashuhudia utiaji saini Mradi wa Maji vijiji 55
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa mradi wa maji utakaogharimu takribani shilingi bilioni 120 unaotekelezwa katika vijiji 55 vya wilaya za Ruangwa (vijiji 34) na Nachingwea (vijiji 21) mkoani Lindi. Amesema mradi huo ambao…
6 February 2023, 4:41 pm
Spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar ameahidi kufikisha salam za Ruangwa kwa…
Na; Jongo Sudi Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar ambae pia ni mlezi wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Lindi, Mhe. Zuberi Ali Maulid, ameahidi kufikisha salamu za uhitaji wa vifaa tiba katika jengo la wodi ya wanaume na…
3 February 2023, 7:10 pm
Tutatumia sheria kwa wazazi wasiopeleka watoto shule
Na Loveness Daniely. Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi Hassan Ngoma amesema kuanzia February 6 2023 wataanza kufanya msako mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba kwa kutumia sharia na miongozo iliyopo kwa wazazi wasio wapeleka Watoto shuleni msako…
31 January 2023, 12:06 pm
Chuo kikuu cha Dar es salaam kutoa Shahada ya pili na ya tatu ya kilimo Ruangw…
Ujenzi wa chuo kikuu cha Dar es salaamu tawi la Ruangwa kitakachotoa Shahada ya pili na ya tatu katika ngazi ya kilimo unatarajia kuanza Juni 2023. Na Loveness Daniel. Ujenzi wa chuo kikuu cha kilimo kupitia chuo kikuu cha dar…
30 January 2023, 3:50 pm
Ruangwa yapokea kilogramu 1500 ya mbegu za Alizeti
Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi imepokea mbegu za Alizeti aina ya Record nbegu chotara (certified seeds) kilogram 1,500 kutoka Tasisi ya Agricultural Seed Agency (ASA) ya mkoani Morogoro. Akizungumza baada ya kupokea mbegu hizo Afisa kilimo, Mifugo na…
30 January 2023, 7:32 am
Kushindwa kumtunza mtoto ni kosa kisheria
Ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya sheria nchini, Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, imeendela na utaratibu wa kupita katika tarafa za wilaya hiyo ili kutoa elimu ya masula ya kisheria kwa wananchi. Akizungumza na wananchi wa…