Podcasts

27/04/2023, 15:41

Yafahamu matibabu ya Ugonjwa wa surua

Mratibu wa Huduma za Chanjo Halmashauri ya Jiji la Dodoma Victor Kweka leo anazungumzia matibabu ya ugonjwa huo. Yussuph Hassan. Bado tunaendelea kufahamu kwa kina juu ya ugonjwa wa surua, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata…

25/04/2023, 16:58

Dalili za ugonjwa wa Surua

Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote, husababishwa na virusi vinavyosambazwa kwa matone madogo hewani baada ya mtu mwenye surua kukohoa au kupiga chafya. NaYussuph Hassan. Surua ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ambapo inaelezwa kuwa dalili zake zinaweza…

24/04/2023, 13:49

Ufahamu ugonjwa wa surua na maambukizi yake

Ugonjwa huu husababishwa na virusi vinavyosambazwa kwa matone madogo hewani baada ya mtu mwenye surua kukohoa au kupiga chafya. Na Yussuph Hassan. Surua ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote. Mratibu wa Huduma…

20/04/2023, 15:28

Chakula bora ni kinga dhidi ya Ukoma

Mtaalamu wa Afya anasisitiza kama mtu atazingatia lishe bora ataepuka maambukizi ya ugonjwa huu wa ukoma. Na Yussuph Hassan. Ulaji wa chakula bora ni moja kati ya tiba ya kuepukana ugonjwa wa ukoma.

19/04/2023, 14:43

Ishara zipi ambazo kaka kuona hutabiri

Je chifu Tupa atamuwekea nini Kaka kuona ili aweze kutabiri ishara zinazo kuja. Na Yussuph Hassani. Hii ni imani ambayo ipo kwenye jamii na tulipo fika katika kijiji cha Makang’wa tulikuwa watu wa kijiji hicho wana hamu kubwa ya kutaka…

19/04/2023, 13:19

Aina za ugonjwa wa Ukoma na tiba zake

Zipo aina mbili za ukoma je ni zipi hizo? Na Yussph Hassan. Leo Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu anazungumzia juu ya aina za Ugonjwa wa ukoma na tiba zake.