Nuru FM

kijamii

10 July 2025, 16:01

Mahongole wadai maendeleo yao yameletwa na diwani

Kwenye maisha usiwe mtu wa kujisifu badala yake acha kazi yako na bidii yako ikutambulishe kwa watu,ndio hapo utasifiwa na wanao ona. Na Hobokela Lwinga Wananchi katika kijiji cha Nsonyanga A kata ya Mahongole wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wameishukru…

10 July 2025, 12:46

Kakonko yatakiwa kuzalisha mazao ya kibiashara

Halmashauri ya Wilaya Kakonko Mkoani Kigoma imetakiwa kuweka mikakati ya kuzalisha mazao ya biashara yenye ushindani ndani na nje ya nchi kwa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Na Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro…

9 July 2025, 1:50 pm

Uvinza Malaria sasa basi

Zaidi ya vyandarua elfu 16 vitagawiwa kwa wananchi wa Kata ya Uvinza kama sehemu ya juhudi za kuendelea kutokomeza ugonjwa hatari wa malaria katika Wilaya ya Uvinza. Na Abdunuru Shafii Wananchi wa kata ya uvinza wilaya ya uvinza wamepokea vyandarua…

2 July 2025, 2:09 pm

Kiswaga awafariji watoto yatima Tosamaganga

“Watoto yatima wanapaswa kupata msaada sawa na watoto wengine” Na Adelphina Kutika MBUNGE wa Jimbo la Kalenga anayemaliza muda wake Jackson Kiswaga ametoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kwa Watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Watoto yatima Tosamaganga kilichopo…

1 July 2025, 10:00 am

Viongozi watakiwa kutoa taarifa kwa wananchi

“Viongozi wote wanawajibu wa kutoa taari ili wananchi waweze kuzifaham na kujua kinacho endelea” Na Vuai Juma. Watendaji wa sekta za kiserikali ndani ya mkoa wa Kaskazini Unguja wametakiwa kutoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu utendaji wao ili kuweza…

June 19, 2025, 12:55 pm

Wasira: Mgombea hatuzuii utumie pesa, ukizidi tunakukata

Wasira amesema baadhi ya watia nia ya nafasi za ubunge hutumia fedha kuwahonga wajumbe na kwamba chama hicho hakipo tayari kupitisha wagombea wanaotanguliza fedha. Na Elias Zephania- Chato, Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania bara Stephen Wasira…