Nuru FM
Nuru FM
19 September 2025, 12:38 pm
Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mjadala, aliyesimama ni mtangazaji wa Mpanda radio FM Betord Chove. Picha na Benny Gadau “Ili niweze kupiga kura cha kwanza niwe na kitambulisho” Na Betord Chove na Benny Gadau Mpanda radio FM kwa kushirikiana taasisi…
September 18, 2025, 10:26 pm
Baada ya changamoto ya muda mrefu ya kutokuwepo kwa huduma ya upasuaji kwa wajawazito, Kituo cha Afya cha Ngarenaro mkoani Arusha kimezindua rasmi huduma hiyo muhimu, hatua inayolenga kuokoa maisha ya mama na mtoto wakati wa kujifungua. Na Jenipha Lazaro…
12 September 2025, 08:24
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoani Kigoma imezindua dawati la uwezeshaji biashara ili kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa kuinuka kiuchumi huku wakiomba dawati hilo kusaidia kuondoa changamoto ya kubambikizwa kodi. Na Kadislaus Ezekiel Mamlaka ya mapato (TRA) Mkoa Kigoma imesema…
12 September 2025, 4:49 am
“Kwakweli tunampongeza Rais Samia kwa kutukumbuka kwenye hili kwani tulikuwa tunapitia changamoto sana kupata huduma za Afya” – Mwananchi Na: Kale Chongela Wakazi wa mtaa wa Ibolelo maarufu Mwabasabi kata ya Nyankumbu, halmashauri ya manispaa ya Geita wameipongeza serikali kwa…
8 September 2025, 7:53 pm
Baadhi ya wachangia mada wa kata ya Mpanda Hotel. Picha na Anna Mhina “Tutamtia moyo na kumheshimu kwani amethubutu” Na Anna Mhina na Roda Elias Baadhi ya wananchi wa kata ya Mpanda hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameeleza wajibu…
5 September 2025, 10:21 am
Jumla ya miradi 9 ya maendeleo kwenye sekta ya afya, maji, elimu na miundombinu ya barabara wilayani Mbogwe mkoani Geita imepitiwa na Mwenge wa uhuru mwaka 2025. Na: Kale Chongela Wakazi wa kata ya Nyakafuru, halmashauri ya wilaya ya Mbogwe…
5 September 2025, 1:11 am
Kituo hicho kitapunguza kwa kiasi kikubwa changamoto ya wananchi kutembea umbali mrefu kutafuta huduma. Na Kale Chongela: Wakazi wa Kata ya Bukandwe wilayani Mbogwe mkoa wa Geita wanatarajia kuanza kunufaika na huduma za afya mara baada ya kukamilika kwa ujenzi…
2 September 2025, 11:33 am
Utaratibu wa kuwasaidia watoto yatima imekuwa ni moja ya matendo yanayoleta baraka katika jamii. Na Joyce Buganda Jukwaa la Walimu Wazalendo Manispaa ya Iringa limetoa msaada wa Mahitaji muhimu kuwawezesha watoto yatima wanaoishi na kulelewa katika Kituo cha Huruma Center…
2 September 2025, 10:33 am
Wananchi kisiwani Pemba wamemshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwa kuwapatiwa Hospitali ya Wilaya katika kijiji cha Vitongoji. Na Mwiaba Kombo Shukrani hizo zimetolewa na wananchi hao walipokuwa wakizungumza na waandishi wa…
August 28, 2025, 5:39 pm
Jamii za kifugaji zimetakiwa kuwathamini wanyama kazi hususani mnyama punda, ikiwa ni pamoja na kuondokana na dhana potofu zinazowanyima haki zao kama vile uchinjaji holela, kuwabebesha mizigo kupita kiasi, pamoja na kutowapatia huduma za afya na ustawi wa jumla. Na…