Nuru FM

Habari za Iringa

4 April 2024, 8:13 pm

Malori yanayotoka Mufindi yakwama Nyamande

Na Mwandishi wetu Zaidi ya maroli 25 ambayo yanasafirisha bidhaa mbalimbali kutoka kiwanda cha karatasi Mgololo wilaya Mufindi mkoani Iringa yamekwamba kwa zaidi ya siku tano katika kijiji cha Nyamande na Kitandiliko halmashauri ya mji wa Makambako wilayani Njombe kutokana…

4 April 2024, 10:30 am

Mafinga kupokea mwenge Juni 25

Mwenge wa uhuru ni mojawapo ya alama za kitaifa za Tanzania ambao huzunguka kila mkoa kwa lengo la kuangalia maendeleo ya miradi mbalimbali ya maendeleo katika jamii. Na Hafidh Ally Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa ameitisha…

3 April 2024, 9:57 am

Zaidi ya miche 2,000 yapandwa kijiji cha Ulole

Licha ya serikali kuwa na utaratibu wa kupanda miti mara kwa mara bado kumekuwa na tabia ya wananchi kuharibu huku serikali ikapanga kuwachukulia hatua wanaokata miti ovyo. Na Adelphina Kutika Zaidi ya miche 2,000 ya miti rafiki na maji  imepandwa…

3 April 2024, 9:23 am

Wagombea Chadema Iringa warudisha fomu

Uchaguzi wa Chadema una lenga kupata Viongozi wapya watakaokiongoza Chama hicho baada ya walioko madarakani kumaliza muda wake kwa mujibu wa katiba Yao. Na Godfrey Mengele Viongozi wanaogombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoani wa…

30 March 2024, 10:54 am

DC Mufindi akagua miradi ya maendeleo Mafinga

Miradi mingi ya maendeleo katika Halmashauri ya mji Mafinga imekamilikankwa asilimia 95 kutokana na kupokea fedha serikali kuu na fedha za ndani. Na Hafidh Ally Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Dkt. Linda Salekwa amefanya ziara kukagua Miradi ya Maendeleo katikati…

28 March 2024, 12:51 pm

Ng’ombe 547 wakamatwa  katika Hifadhi ya Taifa Ruaha

Wahifadhi katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha Mkoani Iringa wameeleza kukaniliana na changamoto kwa wanaochunga mifugo yao hifadhini. Na Mwandishi wetu Ng’ombe 547 wamekamatwa wakichungwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kinyume cha sheria, huku wachungaji wakikimbia na kuitelekeza…

26 March 2024, 4:41 pm

Mafinga mji kunufaika na mradi wa TACTIC

Mradi wa TACTIC utakuwa na lengo la kusaidia Kutekeleza Miradi ya maendeleo katika jamii. Na Sima Bingilek Halmashauri ya Mji Mafinga ni moja kati ya Halmashauri 18 nchini zitakazonufaika na Mradi wa TACTIC kwa Awamu ya Tatu. Timu ya Wataalamu…

24 March 2024, 10:46 am

SAOHILL wapanda miti zaidi ya 2000

Kuhifadhi vyanzo vya maji kunaendana sambamba na zoezi la upandaji wa miti katika maeneo yanayotunguka. Na Mwandishi wetu ZAIDI ya vyanzo 20 vya maji vimehifadhiwa katika shamba la miti la Sao Hill lililopo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambavyo vimekuwa…

23 March 2024, 11:38 am

UWT Iringa watoa msaada Zahanati ya Kising’a

Licha zahanati Kising’a kutoa huduma za kitatibu bado Kuna changamoto ya upungufu wa vifaa tiba. Na Fabiola Bosco Umoja wa wanawake wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Iringa umekabidhi mablanketi 16 na vifaa vya usafi katika zahanati ya kising’a  yaliyotolewa…