Nuru FM

Habari za Iringa

15 February 2021, 12:41 pm

Nurufm washerehekea sikukuu ya wapendao

Wafanyakazi wa Kituo cha Redio NURU FM kilichopo Manispaa ya Iringa wamesherehekea sikukuu ya Wapendao kwa kutembelea kituo cha Huruma Center ambacho kinalelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi. Akizungumza mara baada ya kutembelea Kituo hiko Afisa Utawala wa…

11 February 2021, 1:54 pm

Ubovu wa miundombinu

Madereva Bajaji manispaa ya iringa wamelalamika ubovu wa miundombinu ya barabara hasa katika kipindi hiki cha mvua jambo linasosababisha vyombo vyao kuharibika.Hapa nakutana na Madereva hao wa Pikipiki za Matairi matatu maarufu kwa jina la Bajaji, wanazungumza jinsi ubovu wa…

26 January 2021, 12:00 pm

Vijana acheni ngono.

Wafamasia Manispaa ya Iringa wamewashauri vijana kuacha kuchangia vifaa vyenye ncha kali ili kupunguza maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

26 January 2021, 11:40 am

Ifahamu nuru fm kwa ufupi

Nuru fm ni radio ya kijamii ambayo ilianza kurusha matangazo yake mwaka 2009 kupitia masafa ya 93.5 lengo lake ni kufikia wananchi wote wa mkoa wa iringa na kutengeneza vipindi bora na iwe radio inayosikiliza kero za wananchi mpaka sasa…

26 January 2021, 10:59 am

Ziara ya siku mbili ya waziri mkuu mkoani Iringa

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuweka mazingira Rafiki na wezeshi kwa ajili ya kuendeleza Ubunifu unaofanywa na Vijana mkoani Iringa ili waweze kusaidia ukuaji wa Teknolojia

11 January 2021, 7:45 am

wazazi wajibikeni katika malezi

Wazazi na walezi mkoani iringa wametakiwa kushiriki vyema katika malezi na matunzo ya mtoto lengo likiwa ni kumstawisha mtoto katika hali ya maadili Akizungumza na Nuru fm katibu tawala mkoa wa iringa Happiness seneda amesema kuwa anayo majukumu ya kimkoa…

31 December 2020, 10:18 am

Wakulima watumie viwanda

Naibu waziri wa viwanda na biashara mhe. Exsaud Kigahe, amewataka wawekezaji nchini, kuona umuhimu wa kujenga viwanda vya kuchakata mazao katika maeneo zinakopatikana kwa wingi malighafi  zitokanazo na kilimo. Mhe. Kigahe amesema hayo wakati alipowatembelea wakazi wa kata ya mapanda…

21 December 2020, 9:05 am

Wahitimu msitegemee ajira – Prof. Anangisye

Wahitimu wa Fani mbalimbali katika Chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa kilichopo mkoani Iringa wametakiwa kutumia Taaluma zao katika kuongeza thamani ,Ubunibu  na Kutengeneza Ajira zitakazoinufaisha jamii inayowazunguka badala ya Kutegemea kuajiriwa. Akizungumza na Katika Mahafari ya 12 ya Chuo…