Nuru FM

Habari za Iringa

18 May 2021, 8:44 am

Wananchi walia ubovu wa barabara

Wananchi wa Ugele Ilangila na ugele Manyigi Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa wanakabiliwa na changamoto ya ubovu wa barabara jambo linalopelekea usafiri kukosekana katika eneo lao.Wakizungumza na Nuru fm baadhi ya wananchi wana mtaa huo wamesema kuwa changamoto ya…

23 April 2021, 1:08 pm

Mabomu ya machozi yalindima

Jeshi la polisi mkoani Iringa limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya madereva wa bajaji walikuwa wakishinikiza kuachiwa huru baadhi ya madereva waliokamatwa wakati wa mkutano baina yao na mkuu wa wilaya Richard Kasesela Wakati wa mkutano huo uliolenga kupata ufafanuzi…

16 April 2021, 7:35 am

Watoto wa mitaani waiomba serikali iwapatie bima za afya

Watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuwakatia bima za afya zitakazo wawezesha kupata huduma pindi wanapokutana na changamoto za kiafya. Wakizungumza na nuru fm baadhi ya watoto hao wamesema kuwa ni vyema serikali ikawakatia bima…

15 February 2021, 12:41 pm

Nurufm washerehekea sikukuu ya wapendao

Wafanyakazi wa Kituo cha Redio NURU FM kilichopo Manispaa ya Iringa wamesherehekea sikukuu ya Wapendao kwa kutembelea kituo cha Huruma Center ambacho kinalelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi. Akizungumza mara baada ya kutembelea Kituo hiko Afisa Utawala wa…

11 February 2021, 1:54 pm

Ubovu wa miundombinu

Madereva Bajaji manispaa ya iringa wamelalamika ubovu wa miundombinu ya barabara hasa katika kipindi hiki cha mvua jambo linasosababisha vyombo vyao kuharibika.Hapa nakutana na Madereva hao wa Pikipiki za Matairi matatu maarufu kwa jina la Bajaji, wanazungumza jinsi ubovu wa…

26 January 2021, 12:00 pm

Vijana acheni ngono.

Wafamasia Manispaa ya Iringa wamewashauri vijana kuacha kuchangia vifaa vyenye ncha kali ili kupunguza maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

26 January 2021, 11:40 am

Ifahamu nuru fm kwa ufupi

Nuru fm ni radio ya kijamii ambayo ilianza kurusha matangazo yake mwaka 2009 kupitia masafa ya 93.5 lengo lake ni kufikia wananchi wote wa mkoa wa iringa na kutengeneza vipindi bora na iwe radio inayosikiliza kero za wananchi mpaka sasa…

26 January 2021, 10:59 am

Ziara ya siku mbili ya waziri mkuu mkoani Iringa

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuweka mazingira Rafiki na wezeshi kwa ajili ya kuendeleza Ubunifu unaofanywa na Vijana mkoani Iringa ili waweze kusaidia ukuaji wa Teknolojia