Nuru FM

Habari za Iringa

17 May 2024, 12:17 pm

Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mwanaye

Na Mwandishi Wetu Mahakama ya  Hakimu Mkazi Morogoro, imemuhukumu Mohamed Omary Salahange (38) kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto wake wa  kike wa kufikia kwenye kesi namba 8112/2024 iliyokuwa ikimkabili. Akisoma hukumu hiyo Hakimu…

17 May 2024, 8:54 am

Polisi Iringa watoa tamko wizi wa mifugo

Wizi wa mifugo umekuwa desturi iliyoenea na wakati mwingine inayosababisha wafugaji kuwa maskini jambo lililopelekea jamii hiyo kuazimia namna ya kukabiliana na changamoto. Na Joyce Buganda Wizi wa mifugo watajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wadau wa ufugaji mkoani iringa  huku…

16 May 2024, 11:30 am

Afande Mwaipopo: Wekeni viakisi mwanga kupunguza ajali

Kikosi cha Usalama Barabarani, Mkoa wa Iringa kimeanza kutoa elimu ya umuhimu wa kuweka viakisi mwanga kwenye magari ili kupunguza ajali za barabarani hasa kwenye maeneo hatarishi nyakati za usiku. Na Hafidh Ally Madereva wa vyombo vya moto wameshauriwa kuweka…

14 May 2024, 7:50 pm

RC Serukamba: Taasisi za umma jiungeni na mfumo wa ‘NeST’

Mfumo mpya wa manunuzi utakuwa chachu ya kuongeza uwajibikaji kwa watumishi wa umma pindi wanapofanya manunuzi ya mali za umma. Na Godfrey Mengele Mkuu wa Mkoa wa Iringa ,Peter Serukamba ameziagiza Taasisi za umma Mkoani Iringa ambazo hazijaanza kutumia mfumo…

14 May 2024, 10:19 am

Matumizi ya kompyuta katika kufundishia yaongeza ufaulu Iringa

Matumizi ya Kompyuta yameongeza ufanisi katika ufundishaji Hali inayochangia kuongeza ufaulu kwa wanafunzi Mkoani Iringa. Na Adelphina Kutika Mfumo wa kutumia teknolojia ya Kompyuta katika kufundishia mashuleni umeonesha ni mfumo unaorahisisha  ufundishaji na kukuza  hamasa kwa wanafunzi ya kupenda kusoma…

10 May 2024, 12:24 pm

Zao la chai lapanda thamani Iringa

Zao la chai limeandaliwa mikakati ili kuwanufaisha wakulima na wadau wa zao hilo Mkoani Iringa. Na Joyce Buganda Wadau wa chai nchini wametakiwa kutoyatelekeza mashamba yao ya chai kwani kwa sasa zao hilo limeonekana kufumuka upya kwa uthamani pamoja na…

8 May 2024, 12:33 pm

DC Kheri: TRAMPA tunzeni siri za serikali

Watunza kumbukumbu za Mamlaka za Serikali wametakiwa kudhibiti uvujishaji wa siri na nyaraka za serikali wanapotekeleza majukumu yao. Na Adelphina Kutika Wanataaluma wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) wametakiwa kuzingatia miiko ya taaluma yao hususan utunzaji…

8 May 2024, 12:24 pm

Trees for the future mkombozi kwa wakulima

Zaidi ya wakulima 1000 mkoani Iringa wamenufaika na mafunzo kutoka Taasisi ya Trees for the future. Na Joyce Buganda Taasisi ya TREES FOR THE FUTURE imewataka wahitimu wao kufanya kwa vitendo mafunzo waliyoyapata ili yaweze kuwa na tija na manufaa…

7 May 2024, 8:35 pm

Mgomo wa daladala Iringa waingia siku ya pili

Mgomo wa madereva daladala umechukua sura mpya baada ya madereva hao kutotoa huduma ya usafiri kutokana na Madereva bajaji kuingilia Njia zao. Na Hafidh Ally Madereva daladala katika kituo cha stand ya zamani ya mabasi Manispaa ya Iringa wameendeleza mgomo…