7 October 2026, 12:48 pm

SUZA yaadhimisha miaka 25 ya mafanikio Zanzibar

Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Profesa Said Ali Hamad Vuai, ametangaza kuanza rasmi kwa maadhimisho ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwa chuo hicho, yakilenga kuadhimisha mafanikio ya elimu ya juu, utafiti, ubunifu, na huduma kwa…

Play internet radio

Recent posts

22 October 2026, 12:38 pm

Makunduchi yatarajia kupata uwanja wa ndege na helikopta

Serikali inatarajia kujenga uwanja mdogo wa ndege katika eneo la Makunduchi, utakaokuwa na uwezo wa kuhudumia ndege za abiria za ukubwa wa kati na mkubwa (daraja la 3C), zikiwemo zile zinazobeba kuanzia abiria 72 hadi zaidi ya 150 kwa wakati…

22 October 2026, 11:52 am

Watu 9 mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Raiyan, Pemba

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mwanafunzi Raiyan Hemed Amour, mwenye umri wa mwaka 15, aliyepatikana amefariki dunia katika Kijiji cha Kwale Mpona, Shehia ya Finya, Wilaya ya Wete…

16 October 2026, 12:18 pm

Serikali yatahadharisha wamiliki boti usalama wa abiria

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mheshimiwa Badria Attai Masoud, amesisitiza kuwa usalama wa abiria wanaosafiri kwa njia ya bahari ndio kipaumbele kikuu cha serikali na kwamba haitakuwa tayari kusubiri majanga au changamoto zitokee ndipo ichukue hatua. Na Hafsa Ali…

16 October 2026, 11:23 am

Polisi Zanzibar waja na operesheni ya kofia ngumu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi limeendelea na operesheni kali ya kukamata madereva wa vyombo vya moto na abiria wanaokiuka sheria za usalama barabarani, huku likisisitiza kuwa uvaaji wa kofia ngumu (helmet) ni takwa la kisheria na sio hiyari.…

7 October 2026, 12:48 pm

SUZA yaadhimisha miaka 25 ya mafanikio Zanzibar

Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Profesa Said Ali Hamad Vuai, ametangaza kuanza rasmi kwa maadhimisho ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwa chuo hicho, yakilenga kuadhimisha mafanikio ya elimu ya juu, utafiti, ubunifu, na huduma kwa…

5 October 2026, 11:36 am

RC Hamida aagiza maduka yote kufunguliwa saa 3 asubuhi Paje

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Hamida Mussa Khamis, amewataka wafanyabiashara na wananchi wa kijiji cha Paje na mkoa mzima kwa ujumla kuimarisha usafi wa mazingira kwa kuagiza maduka yote kufunguliwa kuanzia Saa 3:00 Asubuhi siku za Jumamosi ili…

1 October 2026, 11:14 am

Uwanja wa Dola $3.2M wazinduliwa Kitogani, Kusini Unguja

Rais Mstaafu wa Zanzibar, Mheshimiwa Amani Abeid Karume, akiwa mgeni rasmi, amezindua rasmi uwanja mpya wa michezo wa kisasa uliopo Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja, uliotekelezwa na Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Na Hafsa Ali Idrissa Mradi huo…

28 September 2026, 12:02 pm

Binti wa miaka 19 ajinyonga baada ya kushinikizwa kutoa ujauzito

Simanzi na majonzi vimetanda katika Kijiji cha Pete, Wilaya ya Kusini Unguja, baada ya msichana mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Azmina Ismail Pandu (19), kupatikana amefariki dunia kwa kujinyonga juu ya mti. Na Miraji Manzi Kae Mwili wa marehemu ulipatikana…

21 September 2026, 2:24 pm

Vijana 40 Kusini Unguja waozeshwa kwenye mfumo wa aina yake Zanzibar

Jumla ya vijana 40 kutoka Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, wamefanikiwa kuingia kwenye maisha ya ndoa kwa pamoja, katika hafla ya kipekee iliyofanyika kwenye Msikiti Mkuu wa Paje. Na Miraji Manzi Kae Ndoa hizo zimesimamiwa kwa pamoja na Masheikh kutoka…

Mtegani FM

This is radio Mtegani five years Strategic Plan (SP) from 2020 to 2025. It is the first SP ever developed intending to guide the station in its core mandate of serving the Unguja south region.  This SP is a result of many hands including staff, Board of Directors and community through what we call “community camps”. Thus create the structure of Mtegani community composed of community at the top, Board of Directors, Staff and the Community again at the bottom. The SP therefore presents the station’s background, key milestones, internal and external analysis, strategic objectives, strategic activities, operational plan, budget and annexes; policies and rules.

Vision

Mtegani aims to improve the development of the community of southern region where the community people utilize reliable and credible information for their positive self-development

Mission

To enable community to utilize reliable and credible information for their positive self-development