Mazingira FM

kijamii

2 March 2024, 5:31 pm

PM Majaliwa aanza ziara mkoani Mara

Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kasimu Majaliwa Majaliwa ziara yake mkoani Mara akianza na wilaya ya Bunda kwa kutembelea, kukagua, kuweka jiwe la msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya ya Bunda. Na Adelinus Banenwa…

19 February 2024, 11:26 am

Nyatwali mbioni kulipwa

Katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela amelihakikishia baraza la madiwa la mji wa Bunda kuwa taratibu za kuwalipa wakazi wa Nyatwali zipo ukingoni na muda wowote kutoka sasa wakazi hao wataanza kulipwa. Na Adelinus Banenwa Katibu tawala wilaya ya…

17 February 2024, 10:25 pm

Madiwani Bunda walia na uvamizi wa nyani kwenye makazi

Tutazungumza na tawa kutatua changamoto ya uvamizi wa nyani kwenye makzi ya watu Mhe Madiwani tupeni muda. Na Adelinus Banenwa Ofisi  ya mkuu wa wilaya ya Bunda kupitia kwa katibu tawala wilaya hiyo Salumu Mtelela imelihakikishia baraza la madiwani halmashauri…

17 February 2024, 10:06 pm

Mkandarasi wa usafi atimuliwa Bunda kwa kushindwa kazi

Halmashauri ya mji wa Bunda imetangaza kuvunja mkataba na mkandarasi wa usafi ndani ya mji wa Bunda kutokana na kushindwa kutekeleza mkataba wake. Na Adelinus Banenwa Halmashauri ya mji wa Bunda imetangaza kuvunja mkataba na mkandarasi wa usafi ndani ya…