Karagwe FM

Kagera

11 May 2024, 5:51 pm

Malumbano ya viongozi yachelewesha ujenzi wa sekondari ya kata

Mara nyingi viongozi kushindwa kuelewana hali inayosababisha kuchelewesha miradi ya maendeleo ya wananchi hasa upande wa uamuzi wa wapi mradi ujengwe jambo linalowaumiza wananchi wa chini wanaosubiri kunufaika na mradi husika. Na Ospicia Didace. Katibu wa chama cha mapinduzi CCM…

10 May 2024, 8:08 pm

Magendo yatishia ukosefu wa kahawa Missenyi

Suala la magendo ya kahawa mkoani Kagera limekuwa suala mtambuka kila inapofika nyakati za uvunaji wa zao hilo ambapo wakulima wengi wanadaiwa kuuza maua au kuvuna kahawa mbichi na kuuza kwa njia ya magendo hasa wakulima wanaopakana na nchi ya…

8 May 2024, 12:29 pm

DC Karagwe aagiza kutaifisha kahawa badala ya faini

Kumekuwa na tatizo la kuvuna na kuuza kahawa mbichi maarufu kama “Obutura “katika wilaya zinazolima zao hilo mkoani Kagera ikiwemo Karagwe. Hali hii inadaiwa kuwapunja wakulima kwani wanajikuta wakipata hasara kutokana na mauzo ya zao hilo kabla ya wakati wake.…

5 May 2024, 5:42 pm

CBIDO yatoa milioni 20 kwa wenye ulemavu Karagwe

Wako baadhi ya watoto wanaozaliwa wakiwa na ulemavu na wengine hupata ulemavu wanapokuwa wakubwa hivyo jamii haina budi kushirikiana kuwasaidia ili waweze kujikimu katika maisha. Na Eliud Henry: Kiasi cha Fedha sh. Mil 20 zimetolewa na shirika la kuwahudumia watu…

5 May 2024, 4:48 pm

Wananchi watumia maji ya madimbwi kwa miaka 60 Bweyaja

Kitongoji Bweyaja kina tatizo la ukosefu wa maji.Wakaazi wengi wa maeneo hayo hulazimika kununua maji kwa bei ghali na hali hii inaendelea mpaka leo. Na Devid Geofrey: Wananchi wa kitongoji cha Bweyaja kijiji cha Omurulama kata ya Chanika wilaya ya…

1 May 2024, 8:40 pm

Bei ya nguruwe yasababisha kifo

Nchi sita kati ya kumi zenye idadi kubwa kabisa ya watu kujiua duniani ziko Afrika, na kiwango cha kujiua katika bara hilo ni zaidi ya moja ya tano ikilinganishwa na maeneo mengine, WHO imesema wiki hii. Na Devid Geofrey: Mtu…

29 April 2024, 9:39 pm

Dr.Samia aombwa kusimama na watoto wa kike

Haikuwa rahisi kwa vijana wa kike kupenya na kufaulu vizuri katika taaluma kama walivyo vijana wa kiume hapa nchini Tanzania na watu wengi waliamini hivyo huko nyuma. Jambo hili pia lilisababisha wanafunzi wa kike kusita kuchagua kusoma masomo ya sayansi.…

25 April 2024, 10:25 pm

Wanawake walia na mzigo wa kuhudumia familia bila malipo

Baadhi ya wanawake wanaohudumia familia zao bila malipo wakiwa katika kongamano. Picha kwa msaada wa mtandao Serikali ya Tanzania yakumbushwa kusimamia utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya wanawake na Jinsia ya mwaka 2000 ili kuwapunguzia wanawake mzigo wa kazi za…

25 April 2024, 10:13 pm

Wakulima wa Kahawa Kyerwa wakombolewa na Juhudi AMCOS

JUHUDI AMCOS  Ushirika wa Kilimo na Masoko umewapatia wakulima bei nzuri ya kihistoria.Wakulima sasa wanafaidika na zao la Kahawa wilayani Kyerwa Mkoani Kagera. Na.Edisoni Tumaini Galeba Ushirika wa JUHUDU ulioanzishwa rasmi mwaka 2012 na kuruhusiwa na Serikali  kusimama wenyewe mwaka…