Karagwe FM

Kagera

15 April 2021, 1:25 pm

Miradi 19 yalamba Milioni 250.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi Innocent Mukandala amesema kuwa Kamati ya Fedha Utawala na Mipango leo alhamisi tarehe 15 April 2021 imeanza ziara ya siku 2 ya kufuatilia na kukagua miradi ya Maendeleo 19 yenye thamani ya zaidi…

14 April 2021, 9:31 pm

Kata kujenga zahanati na Sekondari.

Wananchi wa kitongoji cha Bugene Kata ya Bugene Wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera wametakiwa kushiriki kikamilifu ili kufanikisha ujenzi wa Shule ya sekondari na Zahanati kwenye kata hiyo vinavyo tarajiwa kujegwa hivi karibuni. Diwani wa kata hiyo Mugisha  Anselim amebainisha…

14 April 2021, 5:53 pm

“Viongozi wa chama na serikali tekelezeni Ilani”

Wanachama na viongozi wa serikali wametakiwa kuwa wamoja katika kuwahudumia wananchi ili kufikia maendeleo yanayotarajiwa Amesema hayo katibu wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Bw.Anathory Nshange wakati wa ziara yake ya kuimarisha utawala bora ndani ya…

13 April 2021, 7:17 pm

Nyaishozi fc kufa kupona ligi ya mabingwa.

Timu ya mpira wa miguu Nyaishozi ya wilaya Karagwe mkoani Kagera imejipanga vyema kuhakikisha inasonga mbele katika hatua inayofuata kwenye ligi ya mabingwa wa Mikoa (RCLFinals 2021). April 12 mwaka huu timu hiyo ambayo ni Mshindi wa mkoa Kagera imesafiri…

12 April 2021, 9:29 pm

Watakiwa kufunga na kutoa sadaka

Waumini wa dini ya Kiislamu wilayani Karagwe wametakiwa kuwasaidia watu wenye uhitaji wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani ili wapate baraka toka kwa Mwenyezi Mungu. Haya ni kwamujibu wa Shekhe Nassibu Abdu Abdallah Shekhe wa wilaya Karagwe ambaye…

12 April 2021, 12:04 pm

“Mimba kwa wanafunzi sawa na dawa za kulevya”

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa Kagera Revocatus Malimi amesema kuwa Jeshi la Polisi mkoani hapa limeandaa mikakati mbalimbali itakayosaidia kupambana na tatizo la mimba za utotoni kwa wanafunzi  wanaosoma katika shule za Msingi na Sekondari . Kamanda Malimi amesema…

8 April 2021, 2:25 pm

Mkufunzi ashikiliwa kwa rushwa ya Ngono.

Mkufunzi mmoja wa chuo cha Kilimo Maruku kilichoko katika Halmshauri ya wilaya ya Bukoba anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Kagera baada ya kunaswa katika nyumba ya wageni Mjini Bukoba akimshawishi kumpa rushwa ya…