Karagwe FM

Kagera

23 November 2021, 6:32 pm

Jeshi la Akiba laomba kupewa kipaumbele.

Wahitimu wa Mafunzo ya awali ya Jeshi la akiba Wilaya Missenyi Mkoani Kagera wameiomba serikali kuwatafutia ajira kwa kuwapa kipaumbele katika nafasi za kazi ya Ulinzi zinazotangazwa serikalini na katika taasisi binafsi Katika Risala ya wahitimu iliyosomwa na MG Renatus…

15 November 2021, 11:30 am

Miradi ya Maendeleo yatengewa Bilioni 3.3

Zaidi ya shilingi bilioni tatu zimetolewa kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Karagwe kama pesa iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwaajili ya mapambano dhidi ya Uviko-19. Akizungumza na Redio Karagwe Fm sauti ya…

9 November 2021, 11:52 am

200 wapewa mbinu ili kutimiza ndoto zao.

Imeelezwa kuwa suala la vijana kutumiwa na baadhi ya vikundi vya watu kuanzisha vurugu mbalimbali inaweza kuwa chanzo kikubwa cha kuhatarisha amani ya nchi na kuharibu ndoto za vijana kufikia malengo yao. Akizungumuza novemba 7 mwaka huu wakati wa kufunga…

6 November 2021, 11:35 am

Kitendawili kizito chateguliwa Bushenya!

Wananchi wanaoishi katika msitu wa Bushenya kata ya Nsunga wilaya ya Missenyi wametakiwa kuhama katika maeneo hayo kabla ya serikali kuanza operesheni ya kuwaondoa. Agizo hilo limetolewa na mkuu wa wilaya Misenyi Kanali Wilson Sakulo kupitia kikao cha Baraza la…

29 September 2021, 7:20 am

Katunguru wajisaidia vichakani na ziwani.

Baadhi ya wavuvi wanaofanya shughuli zao katika mwalo wa Katunguru kata ya Gwanseri wilayani Muleba wako hatarini kupata mlipuko wa magonjwa kutokana na mwalo huo kutokuwa na choo hali inayosababisha baadhi yao kujihifadhi vichakani na ziwani.

29 September 2021, 7:02 am

Ngeze achaguliwa kuwa mwenyekiti wa ALAT

Mweyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Bukoba Murshid Ngeze amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa mamlaka ya viongozi wa serikali za mitaa ALAT Taifa katika uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa wiki Jijini Dodoma. Akiongea na Radio Karagwe kwa njia ya simu…

29 September 2021, 6:44 am

Maulidi kitaifa kuadhimishwa mkoani Kagera

Baraza kuu la waislamu Tanzania BAKWATA Makao makuu linatarajia kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad maarufu kama Maulidi mwaka huu kitaifa mkoani Kagera. Akiongea na wandishi wa habari Septemba 28 mwaka huu Sheikh wa mkoa wa Kagera alhaji Haruna Kichwabuta…

31 August 2021, 11:10 am

Sensa ya majaribio kufanyika Sept 11,2021

Wakazi wa Kijiji cha Mutukula kilichoko Missenyi Mkoani Kagera wametakiwa kutoa ushirikiano ili kufanikisha sensa ya majaribio itakayofanyika tarehe 11 Septemba 2021 Akihamasisha Wananchi kushiriki zoezi la majaribio ya sensa katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Mutukula kilichoko…

11 August 2021, 7:28 am

World Vision yatoa msaada wa Mil-16.

Shirika la World Vission mradi wa Missenyi ADP wilayani Missenyi, limekabidhi zaidi ya shilingi million 65 za matundu 16 ya vyoo vya wanafuzi katika shule za misingi Gabulanga, Rwazi na Kilimilile.

11 August 2021, 7:16 am

Viongozi: Epukeni upendeleo TASAF

Viongozi kwa kushirikiana na wananchi wilayani Karagwe wametakiwa kupitisha wananchi wenye kaya masikini kwa kuzingatia sifa za walengwa wa mfuko wa TASAF bila upendeleo ili kuepusha manung’uniko. wito huo umetolewa naye bwana AhamWito huo umetolewa na Bwana Ahamed Mafyu Kwaniaba…