Karagwe FM

Kagera

20 April 2024, 1:59 pm

Serikali kujenga mabweni mawili sekondari Bugene

Shule ya sekondari Bugene wilayani Karagwe. Picha Na. Eliud Rwechungura Licha ya jitihada kubwa za serikali kuboresha miundo mbinu, shule nyingi za msingi na sekondari za umma hukabiliwa na baadhi ya changamoto ambazo kila mara huziwasilisha kwa viongozi wanapopata fursa…

19 April 2024, 2:39 pm

Bashungwa akunwa na uwekezaji wa KARADEA

Elimu ni urithi pekee usio hamishika kwa mwanadamu, tuwapeleke watoto shule ili wapate maarifa. Na Devid Geofrey: Waziri wa Ujenzi na mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa viongozi na wasimamizi wa shule za serikali na binafsi…

16 April 2024, 1:18 am

DC Karagwe awakalia kooni askari wala rushwa

Rushwa ni adui wa haki, utu, heshima na haki msingi za binadamu hivyo jamii lazima ishiriki vyema kuitokomeza Na Devid Geofrey: Mkuu wa wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Julius Kalanga Laizer amepiga marufuku vituo vya polisi kuwatoza  wananchi fedha kwa…

13 March 2024, 4:39 pm

CPCT Karagwe kupambana na ukatili wa kijinsia-Makala

Akofu wa kanisa la Calvary Assembles God Tanzania – Kagera ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania CPCT Wilaya Karagwe Askofu Danian Dominic Rwabutikula ameongoza wachungaji wa makanisa hayo na kujadili namna ya kutokomeza vitendo vya…

16 February 2024, 5:45 pm

Mabweni matatu Missenyi yapokea shilingi Milioni 517.8

Halmashauri ya wilaya ya Missenyi imeweka utaratibu wa kufuatilia hali ya utekelezaji wa miradi iliyopokea fedha za serikali kila robo ambapo kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/2024 wameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya elimu afya na maji…

29 January 2022, 10:01 pm

Halmashauri ya Missenyi yatoa mkopo shilingi Milioni 294.8

Halmashauri ya Wilaya Missenyi imetoa mikopo isiyo na riba yenye thamani ya shilingi milioni 294.8 kwa vijana,wanawake na watu wenye ulemavu Katika tukio lakukabidhi mikopo hiyo kwa vikundi 50 vya wajasiriamali, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi Projestus Tegamaisho amesema…

16 December 2021, 3:22 pm

CWT Kagera, jiungeni na Benki ya Walimu

Katibu wa chama cha Walimu Tanzania CWT Mkoa Kagera Tinda Paulini amewaasa viongozi wa chama hicho wilayani Missenyi mkoani Kagera kuwekeza katika Benki ya Walimu ili kuondokana na mikopo kandamizi inayotolewa na baadhi ya taasisi za kifedha Akifunga mafunzo kwa…