Recent posts
24 April 2024, 12:29 pm
Takukuru Manyara yaokoa zaidi ya shilingi 44m
Katika kipindi cha kuanzia mwezi March hadi April 2024 kiasi cha shilling Millioni arobaini na nne zimeokolewa na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru kutoka wilaya ya kiteto, mbulu na ofisi ya mkoa Na George Agustino Taasisi ya…
21 April 2024, 12:31 am
Kamanda Katabazi ashiriki swala ya kuliombea taifa Manyara
Kamanda wa polisi mkoani Manyara Geogre Katabazi amechangia shillingi milioni moja ya ununuzi wa eneo la jengo la msikiti na kuwaomba viongozi wa dini kuendelea kukemea vitendo viovu na kuliombea taifa. Jeshi la polisi mkoa wa Manyara limewaomba viongozi wa…
21 April 2024, 12:01 am
Manyara kutoa chanjo saratani ya mlango wa kizazi kwa mabinti
Serikali imeanza kampeni ya chanjo ya mlango wa kizazi kwa mabinti kuanzia umri wa miaka 9 hadi 14 itakayotolewa katika shule za msingi na sekondari pamoja na vyuo ili kuwaepusha na saratani ya mlango wa kizazi. Na Hawa Rashid Zaidi…
18 April 2024, 12:05 pm
Zimamoto yatoa tahadhari ya mvua Manyara
kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kuleta madhara katika maeneo mengi nchini wananchi wanaoishi mabondeni wametakiwa kuhama Na Emmy peter Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kuendelea kuchukua Tahadhari kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini kwa baadhi ya maeneo ambapo barabara na…
18 April 2024, 11:44 am
Mitandao ya kijamii yachangia mmomonyoko wa maadili
Sababu ya kuongezeka kwa mmomonyoko wa maadili kwa watoto yatajwa wazazi ndio sababu kubwa kwa kuwaachia simu za mkononi watoto wao. Na George Augustino Jamii mkoani Manyara imetakiwa kuwalea watoto wao katika misingi imara na yenye maadili ya kitanzania kwa…
15 April 2024, 11:14 pm
Gekul ashinda rufani
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Manyara yatupilia mbali shauri la rufani yajinai dhidi ya Hashimu Ally na Pauline Gekul Na George Agustino Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Manyara imetupilia mbali shauri la rufani yajinai namba 577 la mwaka…
11 April 2024, 6:16 pm
Sendiga aitaka Babati mji kutafuta ufumbuzi wa taka
Halmashauri ya mji wa Babati yatakiwa kutafuta magari ya kuzolea taka. Na Angel Munuo Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga ameitaka Halmashauri ya mji wa Babati kuhakikisha wanatafuta ufumbuzi wa kupata magari ya kuzolea taka wakati wakijipanga kupata gari…
9 April 2024, 3:05 pm
Wananchi Manyara watakiwa kuchukua tahadhari ya mvua
Wananchi waishio mabondeni mkoani Manyara wametakiwa kuchuku tahadhari. Na George Agustino Wananchi mkoani Manyara wanaoishi katika maeneo ya mabonde na kwenye miteremko wametakiwa kuchukua tahadhari katika kipindi hiki cha mvua kubwa za masika zinazoendelea kunyesha kwa mwezi huu wa April…
9 April 2024, 2:47 pm
NHIF yaboreha kitita cha mafao
Jamii mkoani Manyara imetakiwa kujiunga na mfuko Taifa wa bima ya Afya. Na George Agustino Jamii mkoani Manyara imetakiwa kujiunga na mfuko wa Taifa wa bima ya afya NHIF ili kuepuka gharama kubwa za matibabu wanapokwenda kupata huduma za matibabu…
3 April 2024, 5:05 pm
Mkoa wa Manyara wapaa mashindano Tajwid
Shekhe Kadidi aipongeza BAKWATA kwa kuuheshimisha mkoa wa Manyara Na mwandishi wetu Hawa Rashid Shekhe mkuu wa mkoa wa Manyara Mohamed Kadidi amelishukuru baraza kuu la wa Islam Tanzania BAKWATA kwa kuuheshimisha mkoa wa Manyara katika mashindano yakusoma Quraan tukufu…