Recent posts
19 June 2024, 6:51 pm
Wanahabari Manyara wanolewa mradi bomba la mafuta
Ili kutekeleza mradi wa bomba la mafuta hoima Uganda hadi jiji Tanga na mkoa wa Manyara waandishi wa habari mkoani Manyara watakiwa kuendlea kutoa elimu kwa jamii kuhusu mradi huo na manufaa yake. Na Geogre Augustino Zaidi ya asilimia 99…
18 June 2024, 7:25 pm
Ubakaji, ulawiti vyashamiri Manyara
Katika kukomesha vitendo vya ukatili kwa watoto mkoani Manyara jamii yatakiwa kuwapa elimu watoto wao kwakua  kufanya hivyo kutawasaidia watoto hao kupambanana na kila aina ya ukatili. Na Marino Kawishe Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Mji Babati imetoa…
18 June 2024, 6:47 pm
Wananchi Manyara watakiwa kudumisha amani, kuliombea taifa
Wakati wa umini wa dini ya kiislam Mkoani Manyara wakisherekea sikukuu ya E al-adha Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Manyara amewataka kusheherekea sikukuu hiyo kwa kudumisha amani iliyopo nchini bila kuvunja sheria ya nchi na kuliombea taifa. Na Hawa Rashid…
15 June 2024, 5:09 pm
Binti wa kazi za ndani anusurika kifo Manyara
Wakati dunia ikielekea kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika Juni 16, 2024, binti wa miaka 15 mkoani Manyara amepigwa na mwajiri wake wakishirikiana na baba mwenye nyumba maeneo mbalimbali ya mwili ikiwemo kichwani na miguuni kwa kutumia kisu, nondo na…
13 June 2024, 5:07 pm
Maadhimisho ya damu salama kitaifa kufanyika Manyara
Zoezi  la uchangiaji  limeanza  juni 1 2024 kwakuweka kambi katika maeneo mbali mbali ya mkoa wa Manyara na wananchi kuchangia damu pamoja na utoaji wa elimu ambapo kilele chake kitafanyika june 14 katika ukumbi wa CCM mkoa mkoani Manyara Na…
13 June 2024, 4:47 pm
Wakulima mkoani Manyara watakiwa kuuza Mazao kwa kutumia Mizani
Wakala wa vipimo mkoa wa Manyara unajukumu la kumlinda mlaji kwa kupima mizani zote za wafanyabiashara ili mkulima auze mazao yake na kupata fedha kulingana na thamani ya mazao yake aliyolima Na George Augustino Wakulima mkoani Manyara wametakiwa kuuza mazao mbali…
11 June 2024, 11:20 am
Bodi ya Maji Bonde la Kati yaombwa  kuweka mipaka kwa Wananchi
kutokuwepo kwa mipaka ya vyanzo vya maji kunapelekea wananchi kufanya shughuli za kibinaadamu kwenye vyanzo vya maji na kusababisha uharibifu wa kukauka kwa vyanzo hivyo. Na Christina Christian Wadau wa Jumuiya za watumia maji Kidaka ziwa Manyara wameiomba Bodi ya…
10 June 2024, 5:05 pm
Arusha Express yaua wa 3 Manyara
Kamanda wa polisi mkoani Manyara Geogre Katabazi awataka wananchi mkoani Manyara kuchukua tahadhari kwa kuangalia usalama wao pindi ajali zinapotokea kwa kuacha kusogea karibu na eneo la tukio. Na George Augustino Watu watatu wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada…
7 June 2024, 2:11 pm
Wamiliki wa Vyombo vya moto mkoani Manyara watakiwa kuwa na Bima
Jeshi la polisi kitengo cha usalama Barabarani Mkoani Manyara kimeendelea kutoa elimu kwa wamiliki wa magari kuwa na Bima za magari ili kuwasaidia wanapopata ajali na kutoa elimu kwa watembea kwa miguu Na Hawa Rashid Wamiliki wa vyombo vya moto…
5 June 2024, 11:53 pm
Vituo vya mafuta Manyara fuateni bei elekezi ya petrol na dizel
Baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) kanda ya kaskazini kutangaza bei mpya za mafuta ya dizel na petrol wafanyabiashara na wananchi mkoani hapa wametakiwa kufuata utaratibu wa bei hiyo Sauti Hawa Rashid Wafanyabiashara…